Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
Ni ukweli usiopingika kuwa huku mtaani tunao Hamza wengi sana ambao wengi wao ni matokeo ya utendaji kazi wenu unaobeba maslahi ya wachache na kuacha kundi kubwa likisononeka na Dunia ya sasa taarifa zinasafiri kwa haraka sana hivyo mengi tunayaona na inasikitisha zaidi pale viongozi mnakuja na...
Huu utaratibu wa Kuombana misamaha kwa mapungufu yenu huku upande wa kunufaika ukiwa kwenu si sahihi:
"Tunaomba radhi kwa tatizo la mtandao lililojitokeza asubuhi ya leo. Sasa huduma zetu ZOTE zimerejea. Asante kwa kuendela kutumia Vodacom. Pamoja tunaweza!"
Mmekuwa chini kwa muda mrefu pia...
Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania.
Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na...
Nimemsikiliza kwa makini sana Waziri Ummy Mwalimu akipigia chapuo makato ya miamala na kusema tutaenda kujenga shule, mara barabara za vijijini mara sijui hospitali.
Ummy ameyazungumza haya saa chache tu kabla ya Raisi Mama Samia kuingilia Kati.
Hivyo sasa hivi Waziri Ummy atabadili tena gia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.