kuwa makini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yohanna Mbatizaji (John The Baptist) ndie aliekuwa nabii wa mwisho na hakuna alietokea tena kuwa nabii. Kuwa makini wewe Mkristo na manabii wa mchongo

    Usiwaite watu nabii kisa wengine wanawaita. Usijiunganishe na mdhabahu yao maana hujui ni manabii wa miungu ipi. Siku njema
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unapotafutia riziki pana adui wengi kuliko unapoishi, kuwa makini sana

    Usijisahau ukasema una marafiki wengi kazini , kuwa makini sana. #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha Karibu
  5. JamiiForums Tanzania TUNAPASWA KUWA MAKINI

    Je hii ni kweli na kam nikweli imekaaje🤔🤔
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye UTI sugu anakuua taratibu taratibu kuwa makini

    uchafu sana huu hakikisha hauingii mkenge wa UTI sugu, hivi unajua UTI sugu inaweza kuathiri mpaka Figo au maini.. wale wadudu wasipopata tiba nzuri wanapanda Kwa kibofu Cha mkojo wanaenda tumboni kuathiri organs zingine wanaathiri mpaka mimba, mimba inaweza kuaribiwa na UTI sugu so kuwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  8. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Heche, kuwa makini na ulinzi wake, uchezi na jukwaa yeye anacheza na jukwaa wewe unasimama Kama mlingoti take care

    Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu, Take care kiapo chake ni either ufe au afe. Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Leo mnamaliza kikao Nakuomba Jin ping kuwa makini na hawa watu hawana urafiki wa kudumu.

    1.Kamwe usiache kumpa silaha Iran 2 kamwe usikubali mikataba ya kununua mafuta kwao.
  10. JamiiForums Tanzania No matter what Privacy ni muhimu sana hata wakati wa pillow talk kuwa makini

    Privacy ni muhimu sana kwenye maisha. #privacy is key.
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa makini: Wapanga safari wengi hasa walio nje ya nchi sio waaminiffu

    Kumekuwa na trend ya watu tunaoweza kusema ni content creators ambao wapo nje ya nchi wanatoa post/content mbali mbali kuhusiana na maisha ya ughaibuni. Wengi wanazungumza umuhimu wa kujaribu fursa kwenye nchi zilizoendelea zaidi mfano wa nchi za ulimwengu wa Kwanza! Binafsi nilikuwa Mpenzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Meta AI

    Imeulizwa maswali machache, na haya ndiyo majibu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  14. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

    Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa . Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu. Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  16. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na unachokisikiliza

  17. JamiiForums Tanzania Mkesha wa kukaribisha 2026:Kuna watu msipo kuwa makini mnaunganishwa yale ya October 29

    Yaliyotokea October 29 wanashindwa kufanya wajifiche vipi ili dunia wajue kuwa tanzania ni ya amani. Heka heka za mkesha msipo kuwa makini mtajikuta kwenye Tume na kusema imechunguza sana.
  18. JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka Mungu anakupenda sana ila kuwa makini

    Hapo vip!! Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako. Nimeota like kama umetengenezewa kesi na watu wasio kupenda na nikesi ya uwongo,ila nikawa nimesikia watu pembeni wakisema kwenye hiyo kesi...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na UVCCM, ndio wanaochomesha watu

    UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force. Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa sababu UVCCM ndio wanaowajua viongozi wa upinzani walio mikoani, wengine ni marafiki zao wa karibu...
  20. JamiiForums Tanzania Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…