kuuza

  1. JamiiForums Tanzania Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  3. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  5. JamiiForums Tanzania Kuuza vitu vya ndani kukidhi gharama za maisha

    Katabia haka kakikushika unaweza kujikuta ndani umebaki na mkeka tu kinachoumiza zaidi ni kuuza vitu kwa bei ya hasara. Yote hii ni kukosa chanzo cha uhakika cha pesa. Mbaya zaidi haka katabia akiwa nako kiongozi wa juu basi ujue Taifa litakuwa na hali mbaya ndio hapo utasikia ubinafsishwaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Amani niliyopata kwa kuuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili

    Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao sikutarajia. Kwa kawaida, simu yangu ilikuwa kama kiungo changu kati yangu na ulimwengu wa mitandao ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na kuuza Hydraulic Seals

    Habari wanajukwaa! Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa TESE sasa inatengeneza Haidroliki Seals zenye ubora wa kimataifa hapa hapa Tanzania kwa ajili ya mitambo na mashine zako Kwa nini uchague hydraulic seals za TESE? 🔹 Ubora wa Kimataifa: Seal zetu zinakidhi viwango vya kimataifa na...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna huyu bwana anazungumzia kuuza fenesi Uingereza. Tumjibu au tumuache?

    wakuu,
  12. JamiiForums Tanzania Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  16. JamiiForums Tanzania Kama muda wa kuandika Katiba mpya hautoshi, mbona wa kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha?

    Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!! Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu? Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla. Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
  17. JamiiForums Tanzania Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
  18. JamiiForums Tanzania Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

    Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo) Ni aidha jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako Anataka uhame atawale soko hio sehem Anataka kukutia adabu /...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…