kuuza

  1. jT0078

    Tunatengeneza computer na kuuza spare

    LETE DESKTOP/LAPTOP ILIYO HARIBIKA TUKUTENGENEE PIA TUNAUZA SPARE ZA COMPUTER AINA ZOTE KAMA..... keyboard za Laptop/Macbook Battery za Laptop/Macbook Vioo vya Laptop/Macbook Hdd/Sdd Ram memory Housing za Laptop Wireless Keyboard & Mouse Usb wi-fi dong Tupo ilala - Dsm call; 0767953873 Whatspp...
  2. A

    KERO Mawakala Selcom Tanzania hatupati Kamisheni ya kuuza Huduma ya Umeme

    Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika. Sisi kama mawakala: Tunaweka mtaji wetu binafsi Tunahudumia wateja na kubeba...
  3. Bushmamy

    Rombo: vibinti vidogo kurubuniwa kutoka Kwa wazazi na kwenda kuuza Bar mpakani

    Vibinti vidogo umri chini ya miaka 17, wamekuwa wakirubuniwa na baadhi ya wafanyabiashara waliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania na kwenda kuuza Bar. Maeneo haswa yanayotajwa kushamiri kuwa na wimbi la mabinti wadogo wanaouza Bar ni Tarakea na Mashati Watoto hao wamesena kuwa wafanyabiashara...
  4. E

    Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  5. Z

    Viongozi fisi! Walitangaza kuuza Meno ya Tembo na pembe za Faru. Sasa wametangaza kuuza dhahabu

    Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya. Wanatangaza kuuza dhahabu. Yaonekana wanaojiita ni viongozi ni kama fisi vile, hata akichomwa mkuki...
  6. Genius Man

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
  7. Abraham Lincolnn

    Bunge lisilo na meno na hatari ya kuuza akiba ya dhahabu

    1/ Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa. 2/ Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
  8. R

    Tukimaliza kuuza vitu, tunauzwa kama watumwa arabuni kama mababu zetu walivyouzwa

    Ndicho kilichobaki kwa watanganyika. Kaa mkao wa minyororo shingoni
  9. Carlos The Jackal

    Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

    Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia. HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !! Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
  10. B

    Nawezaje kuuza account yangu ya Instagram?

    Habari, Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, nahitaji kuuza account yangu ya instagram yenye followers 16.4k kwa kiask cha 200,000/= Tsh. Nahitaji msaada wa kujua namna gani nitaweza kuiuza kwa haraka. Kwa mwenye uhitaji usisite kunipigia 0714657573. Ahsante
  11. T

    Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  12. Sifi Leo

    Haya ni madhala ya kuua raia umekosa misaada waanza kuuza dhahabu za wajukuu wetu,SI UFUNGE MKANDA,WAZIRI KAPELEKA UJUMBE GANI KWA BEBERU LA VATICANI?

    Migodi mingi imebakiza mashimo uwezi kuamini Dhahabu ya Akiba inauzwa kwa Ajili ya miradi ya Maendeleo Je UMESHINDWA KUFUNGUA MKANDA kwa kupunguza matumizi ya serikarini?!
  13. Mshana Jr

    Je, tukishamaliza kuuza Dhahabu, tutauza nini tena?

  14. uhuruborn

    Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
  15. Genius Man

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu. lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto tofauti na hapo awali na bado anaendelea kuharibu na kujiongezea kesi za kujibu kwasababu washauri wake...
  16. boufer

    Nina ADO naomba kazi ya kuuza pharmacy au NURSE kwa Dispensary

    Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
  17. I

    Pigo Takatifu kwa Wachina: Kongo Kinshasa Yaanza Kuuza Shaba Marekani

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imekamilisha usafirishaji wake wa kwanza kabisa wa shaba kwenda Marekani kupitia mradi unaoungwa mkono na kampuni ya Mercuria, hatua inayochukuliwa kama mafanikio makubwa katika sekta ya madini na biashara ya nchi hiyo. Usafirishaji huo unaashiria...
  18. Roving Journalist

    Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  19. B

    Biashara ya kuuza mifumo

    Wakuu habari za wakati. ni muda sasa toka nimemaliza chuo, mwaka huu mwezi wa saba natimiza miaka miwili mtaani. Chuoni nimesoma Shahada ya Teknolojia ya Habari za Biashara (bachelor in bussiness Infomation Technology). Mwaka jana mwezi wa pili nimepata kazi kwenye kampuni moja hivi ya...
  20. S

    Hujuma za SGR ni mbinu mpya ya kuuza kwa Mwarabu

    Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu. Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli...
Back
Top Bottom