kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir John Deere

    Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  2. A

    KERO Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi haifai hata kidogo kutumika ila hatuna jinsi

    Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali. Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa...
  3. M

    Toyota Rumion bila kuiinua haiwezi kutumika Bongo, Ni gharama kiasi gani kuipandisha juu ?

    Wataalam na wazoefu Hii gari ipo chini sana, Wanaozitumia huwa wanaziinua ziwe juu ili kuhimili barabara zetu. Modifications za kuipandisha juu ni shilingi ngapi ? ILIYOINULIWA NI KAMA HII HAPA
  4. Mshana Jr

    Hasara za kutumika

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kuchukua hatua za kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika maeneo yasiyo rasmi, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, wakati wa ufunguzi wa Soko Kuu la Kariakoo. Akizungumza katika...
  5. Genius Man

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana

    Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo kama wa Gen Z asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana
  6. stakehigh

    Billion 25 kutumika kuwekeza kwenye startups

    https://x.com/moodewji/status/1998734094558179556?s=20
  7. Carlos The Jackal

    Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  8. Lord Denning

    PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  9. funaku

    Tuorodheshe taasisi na watu wanaoungana kutumika kuhujumu nchi

    Hapa tunaweka kumbukumbu zote sawa . Tuwataje watu binafsi na taasisi zinazotumika kuihujumu Tanzania ili vizazi vijavyo viwakumbuke na kuwashughulikia
  10. M

    PostGE2025 Mababa Askofu msiwajibu Masheikh wanaotumikia mfumo, waoneeni huruma maana kula yao inatokana na wao kutumika

    Mababa Askofu. Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini. 1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
  11. tonicimmobility

    GE2025 BAKWATA yakana kutumika na Serikali

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu ya Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) itaendelea kusimamia maslahi ya Nchi ambapo ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa wazalendo na Taifa lao pamoja na kuilinda amani. Mufti ameeleza hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya...
  12. Surya

    Jinsi ya kuwatawala Watu, Dini na Serikali kutumika vibaya

    Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali, Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi huwenda ni tamaduni tumeiga kutoka kwa watu fulani, nafikiri fungu la kumi kutoa nikwa waajiliwa tu, kwa wafugaji sijajua inakuaje...
  13. Moto wa volcano

    Kwa anayefahamu naomba anifahamishe jinsi e sim inavyowekwa na kutumika kwenye simu

    Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
  14. Dennis Robert Shughuru

    Alianza Magufuli kufungia mitandao sasa ametuachia a beautiful playbook ambayo mpaka leo inatumika na itaendelea kutumika sana

    Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa...
  15. P

    Kesi ya Lisu; naiona mianya ya kutumika na watawala

    Napata mashaka sana juu ya hii movie ,kwa muonekano na muda alioshikiliwa Lissu afya yake haisadifu mazingira anayosema yupo kwa wakati huu. Nikirudi nyuma maneno yaliyopelekea kukamatwa ni wazi hutegemei mtu wa level za ujuzi wa sheria kama Lissu ayatamke kwenye hadhara. Katika moja ya kesi...
  16. chiembe

    Artificial intelligence inaweza kutumika kutunza lugha,mila na destuli zinazotoweka Tanzania na kuzihifadhi

    Kuna baadhi ya mila, desturi na mila zinapotea kwa kasi, hasa makabila madogo. Mfano wachaga walikuwa na utamaduni wa kuchinja mnyama kisha zile nyama wakaziweka eneo la makaburi, asubuhi pakikucha wanaamini wazee wamekula kumbe mbwa wamepita nazo. Nashauri artificial intelligence itumike...
  17. Mpwayungu Village

    Walimu acheni kutumika vinginevyo laana itawatafuna maisha yote

    Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna...
  18. Abraham Lincolnn

    Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  19. The Humble Dreamer

    TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
  20. Nipe Maji

    PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
Back
Top Bottom