kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Napata shida sana kutumia hii app mpya ya JF.

    Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia. Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web. Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini...
  2. JamiiForums Tanzania Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    "Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaojua kutumia pesa, akaunti zao zinasoma salio kidogo

    Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea. Hii inatafsiri...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi. Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi tunashida ya kutumia akili kwenye kuendesha michezo yetu??

  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  10. JamiiForums Tanzania Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  12. JamiiForums Tanzania Ujanja mpya umeibuka wa kutapeli wanawake hela kwa kutumia dating page za Instagram

    Uzi umefutwa maana unaharibu biashara za watu.
  13. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kupata Madhara gani kwa kutumia Dawa ulizopewa Hospitali

    Wadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake zinapelekea Ugonjwa kuongezeka au kupata tatizo lingine zaidi
  16. JamiiForums Tanzania MWAUWASA acheni kutumia mo Mirongo kupeleka maji machafu Ziwani.

    Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu wanaoutumia kwa shughuli mbalimbali. Hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa shughuli za binadamu ikiwemo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna utapeli wa mtandaoni unautumia jina la UNICEF

    Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF. Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    #LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
  19. JamiiForums Tanzania Eid ya mwaka huu mwezi tutaangalia kwa kutumia VAR tumechoka kufungishwa siku ya Eid

    Habari ziwafikie BAKWATA mwaka huu ngoma lazima itazamwe kwa VAT kama umeandama au la! Haiwezekeni kila mwaka tunafungishwa siku za eid hili lifike mwisho.
  20. JamiiForums Tanzania Dotto Magari acha kabisa kutumia neno Ukimbizi kwa watu wa Kigoma

    DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua. Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…