kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  2. JamiiForums Tanzania Ajira kwa Anayeweza kutumia Linkedin & Indeed

    Habari Wakuu. Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA. Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV...
  3. JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  4. JamiiForums Tanzania Kutumia Azam Max kwenye Android Tv

    Nimekuwa nikijaribu kudownload azam max kwenye android tv kupitia goggle playstore lakini imeshindikana kwa kuwa wanasema hai suppprt kwenye Tv. Je hakuna namna naweza kudownload azam max kwenye tv na kuweza kutazama kwa tv kama ilivyo kupitia simu???
  5. JamiiForums Tanzania KERO Responded Wananchi tunateseka kupita kwenye Kalavati kuvuka eneo la Reli ya SGR Mitaa ya Banana

    Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR). Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Aomba kazi kwa kutumia Uchawa

    Angalia hapa jinsi huyu Chawa alivyoomba kazi,
  7. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanajua kutumia fursa

    Habari za jioni wakuu, Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016, BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi elfu hamsini. Hii sarafu nilijaribu kuitafuta bila mafanikio kwani...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

    Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu. Elimu ya kuungaunga na kujisikia kwiiiingi. Sasa urais wanautaka ilihali kijiti kinashikiliwa bado. Updates...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Wananchi ipeni thamani miradi ya minara kwa kutumia huduma za mawasiliano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo uwekezaji uliofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi hautakuwa na maana. Waziri Nape...
  10. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa pili sasa Na enjoy Dstv bure mahali popote kwa kutumia internet.

    Nimeifuta watu wanaweza kui abuse, nashukuru hata walioiona ni wachache
  12. JamiiForums Tanzania Wewe kama uliwahi kutumia hii chanuo alafu bado unajitafuta umeishafeli

    Je, ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
  13. JamiiForums Tanzania Injinia: Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi umefikia 88.61%, litaanza kutumia Desemba 30, 2024

    Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Tarehe 30 Disemba 2024 likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita zenye urefu wa Kilomita 90. Daraja hilo linajengwa Urefu wa kilometa 3.0 Upana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
  15. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Kuboresha Huduma za Afya kwa kutumia Vitengo vya Afya Vinavyotembea (Mobile Health Units)

    Utangulizi Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa wewe unataka Teuzi/ Umeteuliwa kisha unajifanya kutumia akili? Utaona sasa.

    Haya maneno yamenifikirisha sana. Aliyekuwa ananiambia ni Katibu Wizara flan. Na ni sababu nimemuuliza mbona jina langu halipelekwi kwenye teuzi mbalimbali nami tayari nina uzoefu nshafiri sana na mama na Elimu inaruhusu. Jamaa hakuuma uma maneno.kanichana live(watoto wa mjini mnasema hivyo)...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

    Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
  18. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani Mwanaume unaweza kutumia ili Usirogwe na Mkeo au Hawara hasa ukishamshtukia kuwa ni Mshirikina au anataka Kukutengeza / Kukuroga?

    Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaacha kutumia Busara kwa kupata Suluhisho la Kudumu ili kuwe na 'Win Win Situation', nyie mnatumia Vitisho mkidhani ndiyo Suluhisho Kuu

    Jeshi la Polisi Nchini limesema linawatafuta watu waliokula njama kuandaa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii tangazo linalowataka Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024, bila ukomo, hadi pale changamoto zao za kibiashara...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…