Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa
Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi.
Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu unayemkusudia ima chake au alichowahi kushika, Chukua mwiba, pini au waridi andika mshumaa huo...