kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RC Kitwana akagua mipaka ya Mikoa kwa kutumia Helikopta

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustapha, amefanya ziara na kukagua maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mjini kwa kutumia helikopta. Na si hivyo tu, akaenda mbali zaidi kuangalia mipaka ya mkoa huo, pamoja na mikoa mingine ya Kusini na Kaskazini ya Unguja. Hii inamaanisha...
  2. JamiiForums Tanzania Nini huwa madhumuni ya polisi wasio na sare(plain clothes police) kukamata watu?

    Hivi Kwenye muongozo rasmi wa utendaji(PGO) ya police kuna muongozo wa polisi wasiovaa sare kukakamata raia watuhumiwa? Kuna muongozo wa polisi kufanya ukamataji wakiwa na gari ambazo hazina namba rasmi za polisi? Lakini hata kabla hatujaenda kwenye muongozo wa polisi tukifikiria tu kwa common...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa Vijana wa Sasa Kutumia Uzee kukashifu watu , Nini shida

    Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano, 1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na Kamala Harris kutumia wasanii wakubwa wote wa Marekani bado ameangukia pua!

    Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk! Wananchi wamemchoka na hawamtaki!
  7. JamiiForums Tanzania Naogopa kutumia huduma za kifedha kuhifazi hela

    Habari wadau Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki. Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini wafanyakazi watoa huduma hizo wanaweza kunipiga tukio. So naombeni ushauri nikae sawa kimtazamo!
  8. JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  9. JamiiForums Tanzania Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

    Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia 1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake inaanza kutumia mabavu

    Mwanasheria na Profesa mkongwe kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, alitoa onyo kwa serikali wakati wa Kongamano la Kitaifa la Ardhi 2024 na Maadhimisho ya Miaka 30 ya Hakiardhi, yaliyofanyika Jumanne, Oktoba 29, 2024. Akihutubia washiriki, Prof. Shivji alisisitiza umuhimu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
  14. JamiiForums Tanzania Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

    Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua! Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
  16. JamiiForums Tanzania Tusubiri makosa yetu tujifunze au tujifunze kutumia makosa ya Kenya?

    Kuna njia kuu mbili za kujifunza na kurekebisha mambo yako'; kujifunza kwa kutumia makosa yako mwenyewe au kujifunza kwa kutumia makosa ya wengine. Kenya wanataka kumuondoa Makamu wa Rais wao Mh. Gashagua kwa makosa aliyotenda akiwa Makamu wa Rais; Je, makosa wanayomtuhumu nayo sisi hatuna...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani tunaweza kuishinda CCM kwa kutumia ilani ya CCM yenyewe bila matusi au kufanya vurugu

    Ningekuwa mpinzania ningeishinda CCM mapema asubuhi.nachukua ilani ya CCM nawaponda nayo. Mtu uneahidi kufanya jambo kwa miaka mitano na hujafanya.sasa hapo nikikuambua kuwa wewe ni mwongo,mwizi wa kura kwa kuahidi uongo nk nitakuwa nimekuonea? Wambieni wananchi kuwa CCM niwaongo maana kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

    Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya viongozi wanaoigiza sauti zao na kuleta mkanganyiko. Msemaji wa familia hiyo ambaye ni mtoto wa sita wa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  20. JamiiForums Tanzania Kituko Kingine, Serikali kutumia Mabilioni ya Fedha Et Taifa lianzie kutumia Maji ya chini ya Ardhi

    Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo. Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?. Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…