kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya Kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua kwa kutumia Treni ikiwa kwenye mwendo wa kasi

    Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu linalolenga kukuza matumizi ya nishati safi na endelevu. Treni hizi, kama vile zile za SGR, zinaweza...
  2. A

    KERO Maafisa biashara Ilala wanashurutusha wafanyabiashara kulipa fine kwa kutumia nguvu

    Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
  3. Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. (1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani?? (2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
  4. T

    Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  5. PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

    Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30. Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza...
  6. Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

    Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na...
  7. G

    ATC kuzuiwa kutumia anga la nchi za EU, vyombo vya habari vimezibwa mdomo tena?

    Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
  8. G

    Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
  9. Jinsi vyombo vya usalama vinavyoweza soma email zako kwa kutumia Namba ya simu kama security uliyoweka kwenye email yako

    Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA. Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo. Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp. Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
  10. B

    Je, Kuna usalama wa akaunti baada ya kununua bidhaa kwa kutumia MASTER card

    Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
  11. Historia ya kuanzisha kizazi cha taifa la watu weupe ( wazungu)

    Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama mithali au simulizi ya mfano na siyo rekodi ya kihistoria au kisayansi. Hapa kuna muhtasari wa hadithi...
  12. Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  13. Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  14. Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  15. DOKEZO Halmashauri Mbeya imetuuzia maeneo yenye Mwekezaji anayehatarisha afya zetu kwa kutumia baruti

    Mimi kama mkazi wa Jiji la Mbeya kuna kitu sikielewi kutoka kwa Viongozi wa Jiji hasa Idara ya Ardhi na Watu wa Mazingira wa NEMC. Huku Mbeya katika Kata ya Nsalaga, Bonde la Uyole, Uongozi wa Halmashauri ulianzisha mradi wa viwanja vipya na kuhamasisha sana Wananchi wajitokeze kununua viwanja...
  16. KWELI PreGE2025 Mchinjita: Mchango wa wakulima kwenye pato la taifa ni 26%, bajeti iliyopangwa 2024/2025 ni shilingi trilioni 49

    Mchinjita alikuwa na mkutano wa hadhara mkoani Mtwara ambapo amezungumzia masuala mbalimbali, tazama hapa hotuba yote.
  17. F

    Mwenye ujuzi mzuri wa kutumia Zoho Books kwenye automated accounting anifuate PM

    Kama kuna mtu mwenye ujuzi mzuri wa kutumia accounting package kama Zoho Books naomba aje PM tuongee.
  18. Dkt. Biteko: Kutumia umeme bila ufanisi kunaongeza mzigo kwenye uzalishaji wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
  19. Umuhimu wa Kutumia Deodorant za Asili kwa Afya ya Mama na Mtoto: Ulinzi Dhidi ya Kemikali Hatari

    Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa deodorant. Deodorant ni nini? Deodorant ni bidhaa ambayo hutumika kupunguza au kuondoa harufu mbaya...
  20. Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…