Habarini Wakuu,
Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali
Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto
Pia Wamechoma magari nane mpaka sasa...