kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  2. JamiiForums Tanzania Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Apokea Zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan Kutoka UWT Katika Mdahalo wa Wanawake na Muungano

    Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) ameshiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo tarehe 25 Aprili, 2024 Jijini Dar es Salaam Mhe. Wanu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ona hukumu ya mikopo chechefu kutoka Court of Appeal

    1. Hukumu hii ni halali kabisa according to my legal observation. Reasoning ya waheshimiwa majaji iko correct...time barred serving of legal documents to respondents. under the following preliminary objection: The amended record o f appeal by the appellant was served on the 1st, 2nd, and 3rd...
  6. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanawake Wanaomiliki Ardhi Nchini Imeongezeka Kutoka Asilimia 25 Hadi Asilimia 41

    "Serikali imefikia wapi kuweka utaratibu rahisi wa urasimishaji na umilikishaji Ardhi hususani kwa wanawake? - Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa "Serikali inatekelezeka mradi wa kuboresha usalama wa milki ya Ardhi kupitia mradi wa LTIP kwa mkopo wa fedha kutoka Benki...
  7. JamiiForums Tanzania NItumie waya wa milimita ngapi kuunganisha mota yenye 22Kw kutoka kwenye MCB

    Ni waya gani sahihi wa kuunganisha mota kutoka kwenye mcb pia nataka kujua huu waya kwenye picha hapa chini ni milimita ngapi
  8. JamiiForums Tanzania Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

    Eti mdau umeelewa nini kutoka kwenye katuni hii?
  9. JamiiForums Tanzania Ongezeko la wachimbaji wa kigeni na wakezaji kutoka bara la asia .Ni kipi Watanzania tumegundua kwao?

    Kuingia kwa wachimbaji wa kigeni na wawekezaji kutoka bara la Asia, hasa katika sekta ya uchimbaji, kunaweza kuleta fursa na changamoto kwa Watanzania. Idadi kubwa ya wachimbaji wa kigeni na wawekezaji wengi wanatokea bara la Asia, hususan China. China ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi...
  10. JamiiForums Tanzania Methali ya siku: Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu

  11. JamiiForums Tanzania Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa....... Iran pulling senior officers out of Syria As part of those preparations, Iran has...
  12. JamiiForums Tanzania IRAN; anga yetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa ulinzi wetu

    Wanaukumbi. Kamanda wa kituo cha pamoja cha ulinzi wa anga cha Khatam al-Anbiya cha Iran: Anga zetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa Ulinzi wetu wa Anga. Marekani na Ulaya wamemwambia Israel Usijaribu kurudisha mashambulizi Israel. Sisi itakuwa ngumu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
  14. JamiiForums Tanzania Maendeleo katika Jamii: Kutoka Mtu Binafsi Hadi Jamii Nzima

    Mwezi uliopita, nilichapisha makala kuhusu Kupanga ni Kuchagua na Kuchagua ni Kupanga. Nashukuru sana kwa wasomaji wangu ambao wamekuwa chachu ya kuandika machapisho haya na mengine mengi. Ningependa kuzungumzia ukuaji katika maendeleo ya jamii. Moja ya changamoto kubwa tunayokabiliana nayo ni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

    1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi. 2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani? 3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi? 4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu...
  16. JamiiForums Tanzania Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

    Wakuu, Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    “Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi...
  19. JamiiForums Tanzania Boxing: Kiduku amchakaza bondia kutoka India

    Tia neno kama unafatilia mapambano yanayoendelea Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya Harpreet Singh wa India kwa TKO baada ya kumalizika Raundi ya Tano. Ngumi mfululizo zilizotua usoni kwa mpinzani hasa kuanzia Raindi ya Nne na Tano zilimfanya Singh...
  20. JamiiForums Tanzania Salamu za pongezi kwa Ally Happy

    Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. kuwa Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa, Comrade Ally Maftah nikiwa kama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…