kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Serikali Haiwezi Kuendesha SGR Kwa Watanzania Tuliopo. Tujifunze Kutoka Kwenye Mwendokasi

    Mbona barabarani kuna makampuni kibao, Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi. Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  3. JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa mbwa mwitu

    Mbwa mwitu ni mnyama mwenye sifa za kipekee ambazo wanadamu wengi wasasa hawana: Kwanza: Ni mwema kwa wazazi wake. Pili: Halali na familia yake kimapenzi, yani; Mama, dada n.k. Tatu: Hupenda kuwa huru, na hufikia mpaka kujiua unapomfungia ndani na kumnyima uhuru wake. Na daima huishi kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ucheleweswaji wa malipo kwa wakulima kutoka kwa vyama vya msingi imekua kero sana baadhi ya Wilaya mkoani Ruvuma ikiwemo Tunduru

    Hi Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu. Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote. Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watu wanayaiga kutoka kwa viongozi wao

    1. Kaunda suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere 2. Wahehe Kujinyonga kisa mkwawa alijinyonga japo yeye alifanya hivyo kwa uzalendo wa hehe wa siku hizi hata mapenzi wanajitoa uhai 3. Wamakonde wa msumbiji walimuiga samora machel kufuga ndevu sa hv unawakuta wamakonde...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
  7. JamiiForums Tanzania Nini kinakukera na kukukwaza kutoka miongoni mwa wanachama wa JF?

    Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
  8. JamiiForums Tanzania Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Ilkuwaje baada ya kubadilisha mazingira ya utafutaji na ukajutia kutoka sehemu ulipokuwepo? Toa ujuzi wako hapa tupate nguvu

    Wakuu ni takribani wiki kadhaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu. Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo nishaondoa rasilimali zote nikahamishia huku. Kila kitu naona hakiendi, mtaji niliokuja nao naona unazidi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Kigoma pekee wanaulizwa sana utaifa wao kuliko mikoa mingine ya mipakani?

    Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kubadilisha Tanzania kutoka nchi maskini zaidi hadi nchi iliyoendelea kwa kuchukua mifano kutoka Korea Kusini

    Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950, Korea Kusini ilikuwa moja ya nchi maskini zaidi duniani ikitegemea sana kilimo na haikuwa na misingi...
  13. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea. PIA SOMA - VoA...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaachika kutoka kwa mume wake kisa mchepuko halafu anaenda kuambukizwa HIV kitaalamu tunaitaje?

    Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali: Mkopo kutoka Korea hauna masharti ya kuweka rehani rasilimali za nchi

    UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA Mobhare Matinyi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Dar es Salaam Juni 4, 2024. Saa 8:00 Mchana. Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  17. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  18. JamiiForums Tanzania Mchele kutoka Mbeya

    Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya Kwa jumla Debe 45, 000 , 35000 Mawasiliano 0627109582
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini. Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini...
  20. JamiiForums Tanzania Kutoka kipindi cha mpito cha kufiwa na Hayati Magufuli hadi maandamano ya upinzani

    Za jioni. Jpm akaenda kwenye usingizi wa milele, Rais Samiah akashika hatamu katika kipindi kigumu sana, akatuvusha na Amani ikatawala Hadi sasa! Leo maandamano ya upinzani na mabango yao kila kona nchini, Lissu anaunguruma yote, nadhani kapata nafasi ya kisiasa ya kutosha sana tangu aanze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…