kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

    Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

    Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

    Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai. Wengi...
  4. JamiiForums Tanzania WB Yaikopesha Tanzania Bilioni 284 Za Kuimarisha Jinsia na Kukabilina na Ukatili

    Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana. Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa. Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇 --- Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
  5. JamiiForums Tanzania RC Chongolo: Malipo ya Wakulima kutoka NRFA yamechelewa kidogo, Waziri amenihakikishia watalipwa

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) watalipwa malipo yao hivi karibuni na kukiri malipo yalichelewa kidogo. Chongolo ameyasema hayo Desemba...
  6. JamiiForums Tanzania KUTOKA KWA TUNDU LISSU

    "Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa" Mh. Tundu Lissu
  7. JamiiForums Tanzania Red flag gani ilikukimbiza kutoka kwa mwanaume/mwanamke uliyekuwa ukimtaka?

    Aisee nilimpenda mshichana kitu kilikuja kunikata moto siku ananielekeza menu ya kukopa Salio halotel niliogopa mno *149*63#
  8. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k. chanzo >>...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yashusha Makadirio ya Uchumi wa Kenya kutoka 5.0% hadi 4.7%

    Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi ya Serikali na Juhudi hasi za Uimarishaji wa Uchumi vikitajwa kuathiri ukuaji huo. Pia, ripoti...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nunua Bidhaa online kutoka china aliexpress TZ

    Top On Sale Product Recommendations! New Summer Girls Sandals Breathable Children Shoe Outdoor Non Slip Open Toe Beach Sandals Price Now: TZS 37842.17 (Original price: TZS 105113.66, 64% off) 🔗Click & Buy: Here on Aliexpress Tanzania From China #Aliexpress #Amazon #Christmas #shopping...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru Bado watanganyika tupo kwenye makucha ya watawala. Tupitie mashairi ya development kutoka kwa mshairi Kundi Faraja.

    A man of the people Enters his office to sit on the throne of Party and State, His stick of power Across the table. He looks into the files To see the demands Of the millions of people Who for years since Uhuru Have just managed to survive They ring out one message Man of the people You have...
  14. JamiiForums Tanzania Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo. Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
  15. JamiiForums Tanzania NEMC: Hatujakataa kusindikiza Taka hatarishi kutoka Malawi kwenda Uganda, Bali Wakala ndiye kachelewa kulipia. Madereva wawasiliane na Wakala wao

    Salaam Wakuu, Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao. "Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania kupewa Tsh. Bilioni 779.9 kutoka Benki ya Dunia kwaajili ya utekelezaji wa Mradi wa TASAF

    Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 kwa ajili ya kusaidia Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania ( @tasaf.tanzania ) ambayo inatajiwa kutekelezwa baada ya kukamilika kwa Awamu ya Pili ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji aliyedaiwa kupanga wizi wa kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa adaiwa kuhama chini ya Ulinzi wa Polisi

    Mtendaji wa kijiji cha Sakawa wilayani Rorya #Tanzania Fredrick Nyobumbo amelazimika kuhama chini ya ulinzi wa polisi baada ya vitisho kutoka kwa jamii! Fredrick anatuhumiwa kupanga wizi wa kura katika kijiji hicho na hadi leo hakuna aliyetangazwa mshindi! Yaani @ccm_tanzania ijiandae kwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Untold Story: Mjue Simon Magus, mchawi tishio kutoka Israel aliyekaribia kuufuta Ukristo Duniani

    Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo. Tunathubutu kusema...
  20. JamiiForums Tanzania Lady Jaydee mwimba Chorus Bora wa kike kupata kutoka Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, tumuite ndio Hip Hop Soul Queen wa Bongo?

    Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa 1.Bongo DSM na Prof Jay 2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa 3. Machoni Kama watu Na Ay 4. Nyaluland na Mike T 5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT 6. Sikiliza Na Ngwea 7. Hawajui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…