Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya.
Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi baadhi ya clips zangu kwenye perfomances kadhaa kwa ajili ya kuburudika, kukosoa na kushauri.
Mods...
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei.
Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki.
Leo nataka kuendelea na uzi wetu unaohusu Binance payment methods ambapo kwa uzi uliopita tuliangalia njia nne unazoweza...
Girolando ni moja ya Ng'ombe wanao aminika kwa utoaji wa masiwa mengi sana na wanao fugwa ukanda wa joto tofauti na hawa tulionwazoe wa kisasa amboa wana asili ya Magharibi sana.
Girolando ni wana asili ya Brazili na sifa kuu ya hawa ng'ombe ni utoaji wa maziwa kwa wingi bila kufungiwa...
Hapo vipi?
Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa.
Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam...
Wasalaam!
Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa?
Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive?
Tena kwa njia ya Sea freight...
KWA MAHITAJI YA SIMU,LAPTOPS NA SPEA ZA MAGARI KAMA INJINI,GEARBOX,TAA,INJECTORS,SPARK PLUGS ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA DUBAI NJOO UAGIZE NASI.
SALU DXBTZ GENERAL TRADING NDIO SULUHISHO.
TUMEKUWA TUKIFANYA SHUGHULI HII KWA MUDA WA MIAKA 4(MINNE) HADI SASA KWA UAMINIFU WA KIWANGO CHA JUU...
#Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao.
Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki.
Nimekuwa kwenye soko la...
dubai
kabla
kariakoo
kukagua
kununua
kutoka
maduka
mambomuhimuyakuzinagatiakwenyesimu
matatizoyasimuusedkutokadubai
simu
simu used
simuzauborakariakoo
usa
used
wauzalaptopborakariakoo
wauzasimuborakariakoo
Unahitaji nini kutoa South Africa?
Branch zetu.
Kamaha-Mkaba na Soko la Madi.
Dar- Tunapatina Ilala.
Shinya-Majengo Mapya jirani na Liga Hotel.
Next-Mwanza.
Njia za naweza lipia nikama
PayPal
Bank
Lipa Kwa Simu
Wala
Wala CRDB
Kama uko serious nicheki whatspp.Kama uko kahama nenda tume ya...
Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake.
Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs.
Love...
Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja
Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa
Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
Wadau hamjamboni nyote?
Mungu anazidi kuipigania Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel::
A ballistic missile launched from Yemen a short while ago, apparently aimed at Israel, fell short in Saudi Arabia, according to a defense source.
The missile was identified by...
WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. H.E...
#mwanakidigitali hii utaipenda …
WhatsApp wamefanya mabadiliko makubwa kwenye Ststus zake na sasa unaweza kuweka muziki wowote unaotaka unapo post picha kupitia WhatsApp status 📌
Ona hatujasalimiana hata 😆
Mambo ni vipi #mwanakidigitali …. Najua swaumu itakuwa kali poleni kwa mfungo kwa wewe...
Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika.
Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
Barcelona wamepanga kuweka dau kubwa la kutaka kumnunua tena Lionel Messi kabla ya msimu wa 2026/27, kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Argentina.
Messi alihudumu Barcelona kwa zaidi ya miongo miwili huko Catalonia kuanzia mwaka 2000 mpaka msimu wa joto wa 2021, akijiunga na Paris Saint-Germain...
Habari wakuu nishawahi kutoa uzi wa kutafuta ajira but wengi mlinipa ushaur wa kujiajiri mimi mwenyewe. so nimerudi tena kwa wale ambao wanahitaji vitu kutoka amazon au kutoka china kua naagizisha mzigo kutoka sehem hizo na utakua unauona kiganjani mwako mpaka unakufikia ulipo ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.