kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services!

    Umeshawahi Kukwama Barabarani Kwa Sababu ya Spare Part? Hebu Tueleze – Kisha Jifunze Kutoka Jerry Spare Parts and Services! Kuna wakati mwingine tunatoka safari ndefu au hata safari za kila siku, halafu ghafla gari linakataa kuwaka au linazima katikati ya barabara. Unapofungua bonnet au kufika...
  2. M

    RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
  3. L

    Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  4. Watanzania wanahamishwa kizembe sana kutoka kwenye mambo na mijadala ya msingi ya Kitaifa

    Watanzania, tusiwe watu wa kushangilia kila kelele inayopigwa mbele yetu. Si kila anayepaza sauti anapigania mabadiliko. Wengine wanapiga kelele ili kuua kelele nyingine. Wengine ni kama mabuzi wa porini wanaolia ili simba asisikike. Mbinu ya Kumtumia Polepole ni njia ya kuua mjadala ya kitaifa...
  5. M

    RC Mboni Mhita: Shinyanga na Kahama zimekusanya TZS 540bn kutoka kwenye madini

    TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA? Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 540.17. Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 hadi kufikia Aprili 2025...
  6. Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

    Habari za weekend wakuu. Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda. Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
  7. GE2025 Kailima: Kutumia Mabango ya Kampeni lazima upate idhini kutoka Tume au Wasimamizi wa Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema, "Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
  8. GE2025 Prof. Kitila abanwa mbavu na Wajumbe CCM, wakumbusha ahadi ya ujenzi wa ukingo wa Mto Gide

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
  9. K

    GE2025 Salaam za Shukrani 🙏 Kutoka kwa Habibu Mchange

    Salaam za Shukrani 🙏 Kwa unyenyekevu mkubwa, mimi Habibu Mchange ninakishukuru Chama changu cha Mapinduzi kwa kunipitisha kuwa miongoni mwa majina sita yaliyopendekezwa—ambapo mmoja wetu, ikimpendeza Mungu, atakuwa mwakilishi wa wananchi wa Kigamboni kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Moyo...
  10. Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
  11. Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  12. W

    GE2025 Waliotimkia CCM kutoka CHADEMA 'kundi la wabunge 19' wametoboa mchujo wa kamati kuu CCM

    Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
  13. Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  14. Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  15. M

    Kigongo Busisi zilivuka Tani 1,600 tu kwa siku leo ni Tani 180,000 na watu 12,000 wanavuka. Tulitumia saa 3 -4 kuvuka leo ni dakika 3 - 4 tu

    Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2  kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
  16. SCREENSHOT MBALI MBALI KUTOKA JF

    Huwa nawekaga kumbu kumbu kama kitu kikiwa kimenichekesha au kinamaana fulani kwangu.... Zitabaki kumbu kumbu humu ndani mana naona kabisa simu inaanza kujaa mapicha
  17. Uzi wa kupeana updates kutoka katika Online - meeting ya CCM

    Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi Wajumbeeeeeeeeeh
  18. Neno langu la Imani kutoka kitabu Cha wanabii

    Kama ilvyoandikwa 1👉 Kama vile inzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 2 👉 Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto. 3👉 Hata anapotembea barabarani, mpumbavu hukosa ufahamu na kudhihirisha...
  19. Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  20. KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…