kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
  2. JamiiForums Tanzania Offer ya Iddi kutoka kwa mrembo anayevutia.

    Wakuu yani nimeshajiandaa natinga Bongo kutoka mamtoni tarehe 19. Yani mfungo unaisha tu unakaribishwa na mambo mema na matamu ya duniani. Mrembo Janepher Sanga katoa offer ya Iddi Shilingi elfu 50 tu. Je mwanaume utakubali offer hii ikupite kirahisi na Kizembe hivi hivi. Msikie mwenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania Bentley Flying Spur Moja YA Expensive Sedan Kutoka kwa Mkoloni Anayopush Bashite

    Juzi Kati camera zime-mumulika Daudi akiwa kwenye Bentley Flying Spur, Moja ya expensive na full sized luxury sedan kutoka kwa Mkoloni huko Uingereza kwa Malikia.. . Kama wapiga kura tukaitolea macho kumchuzi huku tunawaza ukosefu wa madawati Shule Msingi Nyambitilwa kibondo, Tukapata tags za...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

    Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa 1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi. 1. Assad 2. Maduro 3. Khamenei Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
  5. JamiiForums Tanzania US kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    Vita inakuja sahivi wanahesabu masaa tu, huko Israel mahandaki yashafunguliwa Marekani wenyewe washaanza kuondia wanajeshi kwenye bases zao...Sidhani kama round hii itapita bila mtwangano kutokea
  6. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  7. JamiiForums Tanzania Magari ya kutoka China yashika soko SA

    Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena. Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mbuzi kutoka mnadani kwenda Dar

    Habari za majukumu wakuu Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
  9. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

    Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

    Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4% ya mwenye. M super market . Mama Samia anafikia zanzibar , familia na rushwa kila siku...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Barua Pepe (Email) Nyingi Bila Kikomo Kutoka Akaunti Moja ya Gmail

    Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.” Plus Addressing ni nini? Plus addressing ni njia...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Picha ya Siku Na Ujumbe Wa Siku Kutoka Kwa Rais Samia Uliowagusa Viongozi Wa Dini,Waumini na Wakatoliki wote Nchini kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Hakika tumepata kiongozi wa Mfano...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya October 29 inatakiwa kutoka leo

    Tume hii ilianzishwa na Samia November 18, 2025 na aliipa miezi mitatu Miezi 3 imetamatika Leo Au ripoti anapewa Samuya haifiki Kwa jamii
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  17. JamiiForums Tanzania “NIFUATE” – Ndoto Iliyobadili Maisha ya Mwanamke Kutoka Iran

    Hivi karibuni, wanawake watatu waliokuwa Waislamu walishiriki ushuhuda wao wa kipekee kupitia jukwaa la “I Found the Truth”, wakieleza jinsi walivyodai kukutana na Jesus Christ katika ndoto na maono ya kiroho. Ushuhuda wao unaeleza jinsi wanavyoamini kuwa Yesu anajifunua kwa Waislamu wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

    Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia. Na mwakani mwendo ndio huuhuu 👽 AZAM OUT 👽SIMBA OUT 👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
  20. JamiiForums Tanzania Sirat fundisho la uongo kutoka upagani

    UISLAMU NDANI YA UPAGANI WA SIRAT (DARAJA LA JEHANAMU) Moja ya mafundisho yanayopatikana ndani ya Uislamu ni fundisho la Sirat daraja linalowekwa juu ya Jahannamu ambalo wanadamu wote watalivuka siku ya hukumu. Wengine watapita salama, wengine kwa shida, na wengine wataanguka motoni. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…