kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Muuaji wa Charlie Kirk Marekani agundulika ni kutoka miongoni mwao wenyewe wahafidhina(Conservatives/right wingers)

    Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
  2. Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

    Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani. Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao. Sasahivi waziri mkuu yuko...
  3. Nimenunua shati na suruali kutoka mtandaoni ila najuta

    Habari wadau. Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake. Sadly, leo nimevipokea maana alinitumia kwenye basi na havinitoshi kabisa. Shati ni dogo mno hasa mikono...
  4. W

    GE2025 Matrekta tuliyoahidiwa yameshuka kutoka milioni 10 hadi elfu 10. CCM mnatuchanganya

    Ikumbukwe Agosti 31, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo...
  5. Taarifa Kutoka Taifa Group Kuhusu Shutuma Za TANCOAL

  6. Hóla Diamondhead Superbike: Pikipiki ya umeme ya ki-futuristic kutoka India

    Kampuni la pikipiki kutoka India, Holaciudad wamezindua official superbike ya umeme inayoenda kwa jina la Diamondhead. Imeitwa Diamondhead kwasababu ya muonekano wake wa mbele, kua na shape kama ya diamond. Pia ni e-Superbike inaweza kutoka 0-100kph kwa sec 2 tu. Hola wamesema, body yake...
  7. Litakuwa jambo jema tukijulishwa ni ushirikiano gani wanaoutaka Serikali kutoka ofisi za Jamii Forum na kweli uvamizi haramu haukufanyika.

    Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa. Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
  8. G

    Maulid Mubarak Kutoka Site to Site Real Estate

    Tunawatakia wote Maulid Mubarak yenye upendo na amani. Site to Site Real Estate – Nyumba bora, maisha bora.
  9. Mabasi yapi yanaenda Harare kutoka Tanzania?

    Naomba nisaidiwe taarifa zifuatazo: 1. Mabasi yanatoa huduma ya usafiri kutoka Tanzania, na makisio ya nauli kama itawezekana. Nikipata namba zao za simu ni ni vizuri zaidi! 2. Safari yangu itaanzia Mwanza. Nitapaswa kwenda kupandia basi Dar Es Salaam au Tunduma? 3. Itachukua muda gani kutoka...
  10. GE2025 KIGWEA: Tulipewa TSH. 20,000 ili tuonekane tumejivua CHAUMMA kutoka CHADEMA

    Baadhi wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) kutoka Jimbo la Segerea wakielezea jinsi walivyorubuniwa na mmoja wa viongozi wa Chama hicho ili waonekane kama wamejiondoa kwenye chama chao na kujiunga na CHADEMA. Soma pia: Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA
  11. K

    Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

    Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet. Package ni kama ifuatavyo. •Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 120,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 60,000/=...
  12. Tupate burudani kidogo kutoka kwa mkaka wa Dar.

    Kwahiyo wanaume wa Dar siku hizi mnatembea na pochi kama wanawake?
  13. Naunga mkono kukataa misaada ya uchaguzi kutoka nje

    Misaada kutoka nje kugharamia uchaguzi ni hatari sana kwa uhuru wetu. Misaada yao inaambatana na maagizo na maellekezo kwetu juu ya nani achaguliwe na ukichaguliwa ufanye nini kwako na kwao. https://youtu.be/raTu83yDZHQ?si=V0tZ0hgcFG9zM8El
  14. Y

    Kutoka kimapenzi na ndugu

    Habari za muda huu Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27. Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana na changamoto ya yeye kudai kua nimeshindwa kumuhudumia upande wa nahitaji yake ya kifedha Baada...
  15. Natafuta mwenza kutoka JF awe na pigo kama hizi za kiswahili swahili👇🏻

    💃🏻MDADA AWE: ♥️ Awe 18 - 40 ♥️Sijali kazi, hata kama akiwa mvivu haina shida nachotaka awe na degree ya mahaba ♥️Alifundwa usichanani ♥️Awe flexible katika tendo yani hadi kuruka kichura aweze ♥️Awe mtu wa mitego ya kihisia hata wakati akiniletea chakula awe na kanga moko ♥️Awe mtu wa kazi yani...
  16. Ila sisi wanaume 😂😂, hakuna kitu mwanamke ataacha kupata kutoka kwa mwanaume

  17. KERO Mfumo wa kulipia maji Iringa uwe automatic Mtu ukilipa tu maji yaanze kutoka

    Mimi ni Mwananchi kutoka Iringa, kero yangu kubwa ni kwa IRUWA (Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA) kuna wakati tunanunua maji token hazirudi siku moja mpaka mbili. Hii ni kero kubwa sana kwangu na kwa wengine, nashauri mfumo wa kulipia maji uwe automatic mtu...
  18. Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

    Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
  19. VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…