kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Afrika tumerogwa: Vijana barubaru kutoka Morocco wanavyoteseka kuingia uzunguni

    Halafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha sana, nguvu kazi tena vijana barubaru!
  2. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ama itafungwa au hata kutoka Sare na Club Africaine Kesho, tayari Kocha Nabi ameshatoa Utetezi Leo

    "Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC. Chanzo: Spoti Leo ya Radio One...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akopa zaidi ya Tsh bilioni 900 kutoka Abu Dhabi

    Hivi hizi pesa zinapelekwa wapi kama hali ya maji na umeme ni tabu ndani ya nchi hii?! NB: Akumbukwe Ndugai.
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara kutoka Tabata afikishwa Mahakamani kwa kusafirisha binadamu

    Mfanyabiashara na mkazi wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, akikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji haramu wa binadamu. Masoli amefikishwa mahakamani leo, Oktoba 31, 2022 na kusomewa shitaka lake na wakili wa Serikali, Caroline Materu...
  5. JamiiForums Tanzania Tafadhali wakazi wa Maeneo haya hebu tupeane 'updates' za Maji kutoka ili angalau Leo tuoge tusinuke

    1. Masaki 2. Kawe 3. Oysterbay 4. Mikocheni 5. Mbezi Beach 6. Mwenge 7. Kijitonyama Nasubiri kwa hamu tu updates zenu.
  6. JamiiForums Tanzania Nimechoka na hizi 'bla bla' kutoka kwa Wanafiki, Waongo na Wasiofanya hivyo

    "Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe. Chanzo: EastAfricaTelevision Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
  7. JamiiForums Tanzania BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

    Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
  8. JamiiForums Tanzania Poland inaorodhesha mahitaji ya fidia ya WWII kutoka Ujerumani

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili. Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

    Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu. Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana. Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya mitandao ya Simu vimepunguziwa ujazo, bei zimepanda zaidi, hali ni chungu

    Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi. niliwahi kusema hivi vifurushi kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Barua za uhamisho kutoka mkoani kwenda wizarani huchukua muda gani?

    Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani. Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
  12. JamiiForums Tanzania Ilikuwa hivi hivi baada ya Yanga kutoka kwa Rivers United

    Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze...
  13. JamiiForums Tanzania Mliowahi kuagiza bidhaa kutoka Marekani kwa kutumia kampuni ya Myus

    Habari wakuu. Poleni na majukumu. Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import. Clearance...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, una kitu cha kujifunza kutoka Zambia, jifunze!

    JE, ZAMBIA NI SHULE YA DEMOKRASIA? Miaka ya 1990s kulifanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia, Rais Kenneth Kaunda, baba wa taifa la Zambia alishindana na mwanasiasa kijana wa upinzani Frederick Chiluba akashindwa uchaguzi ule. Mzee Kaunda(Mungu amrehemu) alipelekewa taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania JWTZ: Litafanyika zoezi la kawaida la Medani Mkoani Lindi na Mtwara kuanzia 19 hadi 29 Oktoba 2022

    Kwa mwenye jicho la tatu kuna kitu hapa Jeshi letu pendwa wanafanya ili kuwapa onyo wale jamaa wanaotaka kuleta dharau, safi sana hii.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo Utaratibu wa vituo vya Mabasi kutoka Dar

    Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM. Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk. Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yatwaa tuzo ya Benki Bora Tanzania kutoka jarida la Global Finance

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo, katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa Benki Bora Duniani iliyofanyika kwenye ukumbi wa ‘National Press...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hawa ndugu zetu KE hawawezi toboa maisha pasipo kupata "Tag" kutoka kwa ME?

    Inakuwaje wote Mungu katupa akili sawa, ghafla kuna mtu anaamua kutamani kufugwa na kuwa chini ya uthibiti wa mtu mwingine? Yaani ikitokea mwanamke kaolewa na mtu wa chini sana, na huyo mtu wa chini akishindwa kutoboa ndiyo imetoka hiyo. Soluhisho ni kuuza K tu. Na wengi wao wanauza K hadi...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Nghonghona, Dodoma

    Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5 Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650 Kimewekewa beacon kabisa, very potential plot. Nyaraka zote zipo.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Jambo Jema kutoka Afisa yoyote wa Polisi..

    Habari za waungwana. Pamoja na kuwa kuna msemo kuwa samaki mmoja akioza basi wote wameoza, inaweza ikawa tofauti. Naomba kuuliza je, kuna wakati umekutana na afisa/askari wa polisi akakutendea kwa utu, heshima na huruma? Kuna mifano mingi, ikiwemo kuwapa chakula mahabusu ambao huwa hawajaletwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…