kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  2. Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  3. K

    DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  4. Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  5. CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
  6. GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

    Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
  7. Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  8. Hakuna Shahidi Anayeweza Kutoa Ushahidi Kwa Kificho Halafu Asijulikane Milele

    Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki. Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa. Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta...
  9. Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  10. Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
  11. DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  12. N

    Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  13. B

    BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  14. Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4. Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya...
  15. Kwa RNB tusihangaike kutoa maua hovyo Ben paul ndiye king

    I salute you kinsmen. Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol. Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana.. Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu...
  16. Rafu Zimechezwa nyingi sana, Je tunakwenda kutoa Rais wa aina gani ?

    Viongozi wa nchi hamfikirii Mahakama hamfikirii Tume ya Uchaguzi hamfikirii Usalama wa nchi hamfikirii Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu wachache mno ambao in next 15 to 20 years huenda wakawa mavumbini based on WHO life expectancy extracts...
  17. Kutoa Kadi ya Mualiko

    Kuna Rafiki yangu ana owa kesho. Ametoa Kadi za Mualiko. Sasa Kuna Baadhi ya Rafiki Zetu wanasema angetoa hata kadi za mchango. Naomba ufafanuzi wenu kwani kutoa Kadi za Mualiko au Kuto kuomba watu michango ya kuendeshea shunghuli yako unaweza athiri Jamii au Rafiki zako. Kwa mtazamo wangu...
  18. Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  19. N

    Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  20. Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

    😂🙌🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…