kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kenya: Gavana aagiza Wafanyakazi kutoa 10% ya Mishahara yao Kanisani

    Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa. Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti. "Maafisa wakuu...
  2. M

    Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

    Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa; Tanzania; Bakari Nondo Mwamnyeto...
  3. Leo ni miaka 20 imepita tangu Marekani na Uingereza waivamie Iraq na kuivunja nchi hiyo mazima. Je, wataweza kuivunja Urusi vipande vipande?

    Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa. Marekani na Uingereza walishindwa kulishawishi baraza la usalama la umoja wa mataifa kuweka azimio au "resolution" la kuwawezesha kuwa na...
  4. D

    Je, ni sahihi kuchangisha watu michango kwa ajili ya kutoa msaada?

    Nimekuwa nikiona mara Nyingi watu huandaa matukio ya kuchangia watoto wanaoishi katika mazingira magumu,yatima,Wafungwa ma wagonjwa kisha kushirikisha ndugu au watu wengine kuchangia. Yaani unajikuta tu upo kwenye Kundi la Whatsap na kisha unaombwa kutoa ahadi yako kwa ajili ya tukio Husika...
  5. Fatma Rembo achangia Milioni 2 UWT Mufindi, aahidi kutoa pikipiki Wilaya zote za Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
  6. Jinsi maamuzi mabovu yalivyoifilisi benki ndani ya saa 48, wateja waliomba kutoa dola bilioni 42 kwa siku moja(Mara mbili ya bajeti ya Tanzania)

    Silicon Valley Bank inayosifika kuwa muhimu kwa kampuni za kiteknolojia hasa zinazoanza na kukua imedondokea pua na kuwa benki ya pili kubwa nchini Marekani kudondoka tangu kumaliza kwa mdororo wa uchumi wa mwaka 2008. Mdororo wa 2008 ulianzia nchini Marekani baada ya mabenki mengi kuporomoka...
  7. Jaji aonya wazazi kuwatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Jaji Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Jaji Ngwembe amesema hayo wakati akitoa elimu ya msingi ya sheria kwa wananchi mkoani Morogoro wanaofika katika...
  8. Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana. Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha...
  9. T

    Badala ya kusema VICOBA sio vizuri, tumieni muda huo kutoa Elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha

    Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA. VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na unafuu wa riba na upatikanaji wake kulinganisha na taasisi nyingine za kifedha na zimesaidia...
  10. NBS: Mfumuko wa bei umeshuka kutoka 4.9 hadi 4.8

    TAARIFA KWENYE VYOMBO VYA HABARI FAHIRISI ZA BEI ZA TAIFA KWA MWEZI FEBRUARI, 2023 Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imepewa mamlaka kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu Sura 351 ya kutoa, kusimamia na kuratibu upatikanaji na usambazaji wa Takwimu Rasmi nchini ikiwa ni pamoja na takwimu za Mfumuko...
  11. Je, Rais Samia kutoa kauli ya "Mwanaume ni yule anayejiamini" ni kijembe Kwa Hayati Magufuli?

    Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi. Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na...
  12. Hivi unaweza ukaoa halafu ukagoma kutoa mahari?

    Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa? Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo cha kuwa mahari lazima iwe imetolewa?
  13. Baada mpango wao wa Ulaghai wao kufeli na mambo kuanza kwenda kombo, Fei na genge lake waanza kutoa mapovu

    Naam, Baada ya hukumu ya awali iliyotolewa na kakamati ya TFF, Fei akiongozwa na genge lake walisema wataomba revie na ikibidi watajiandaa na kuchukua hatua ya kwenda CAS. Niltegemea utekelezaji wa walichokisema kuwa ndo jambo sahihi zaidi katika taratibu za kisheria, kwani baada ya hukumu...
  14. Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

    Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
  15. G

    Umewahi kuahirisha game ama kuilazimisha kishingo upande kwa sababu ya mtu kuwa mchafu?

    Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana. Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba nimezimika, mtoto akaelewa. Siku ya jumapili haendi kazini basi ndo tukapanga liwalo na liwe, mie nikiwa...
  16. Prof. Mkenda akitaka Chuo cha MJNUAT kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake

    Na WyEST, BUTIAMA - MARA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake ambao ndio msingi halisi wa...
  17. CHUNGA KUTOA UHAI MTU KISA PESA

    KAMA UNATAFUTA PESA TAFUTA PESA, MAOMBI OMBA AFYA NJEMA NA UONGOFU 1. PAMBANA UWEZAVYO PESA HAINA MWENYEWE NAWE UNAWEZA KUWA MILLIONEA. 2. MATAJIRI WANAUSISHWA NA USHIRIKINA KWA KUWA PESA IKO NA MAMBO MENGI, HII INAFIKIRISHA LAKINI SIO KILA TAJIRI ANAJIHUSISHA NA MAMBO YA KISHIRIKINA HAPANA. 👉...
  18. M

    Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

    Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde. Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili...
  19. Jinsi ya kutoa msaada wako kwa maafa yalitokea Uturuki na Siria

    At the beginning of this week, a strong 7.8 magnitude earthquake shook parts of southern Turkey and northern Syria. For those who wish to help out the affected regions, here are some options for donation links you can look into 👉 AFAD Turkey's Disaster and Emergency Management Presidency: 🔗...
  20. N

    Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

    Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu, App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…