kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini tunaiamini Mahakama kutoa haki?

    "If the Court still makes mistakes by condemning the Innocents, Why do we still allow it to provide rights?" Kama tunajua na kukubali kuwa kuna watu wasio na hatia wako jela, kwanini bado tunaiamini na tunaiachia mahakama kutupatia au kuhukumu kwa haki? Naamini tunaweza pata suluhisho jingine...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei kuongoza Sala ya ijumaa Leo na kutoa hutuba nzito

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel. Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga leo ikifungwa na Pamba au kutoa Draw nipigwe Ban ya wiki Mbili

    SIONI NAMNA PAMBA ANAWEZA KUTOA HATA DRAW. SIONI KABISA. Yaani hawa jamaa leo lazima Aziz Ki atupie, Chama atupie, Zengeli atupie. Pamba siku zote ni wetu. Ni wetu na tena ni wetu. Yaani hawana cha kutuzuia sisi kupiga mpira mwingi sana na mabao ya kutosha. Hii ndo match ambayo wanayanga...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoa kwenye ATM kwango cha laki nne kwa mkupuo mmoja ni kidogo sana, nashauri waongeze

    Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja. Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
  6. JamiiForums Tanzania Bakita iandae utaratibu wa kutoa taarifa kwa Wananchi walau mara moja kwa mwaka.

    Moja ya sifa ya lugha yoyote duniani ni pamoja na lugha hiyo kukua.Hujitokeza misamiati,nahau mpya au hata baadhi ya maneno kuchepushwa kutoka kwenye maana take ya asili.Sina utafiti rasmi ila naamini kwa kizazi kilichopo sasa hivi mambo ndio yanaenda kwa kasi Sana.Hivyo basi imekuwa ni ngumu...
  7. JamiiForums Tanzania Je Diamond, Babu Tale na Burna Boy wanaweza kuitwa kutoa ushahidi kwenye kesi ya P Diddy?

    Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza? 1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya? 2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na katiba kutoa kinga, kama haya yalitokea kwa National Audit Office, si kuwa yanatokea kwenye NEC pia?

    Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna uchaguzi, je, NEC, yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo kikatiba ni huru na haiingiliwi na mamlaka...
  9. JamiiForums Tanzania Mume akataa kutoa talaka

    Hii hadithi ni very filthy. Nimeiona YouTube sasa hivi. Apparently imetokea last week. Huyu mdada anasimulia,wamekutana na huyu jamaa tik tok,baada ya urafiki wa miezii minne wamefunga ndoa . Sasa mara akaanza kunotice majirani wananong'ona kuhusu ndoa yao. Halafu siku moja kaja jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Utumishi mmegoma kutoa majina na vituo vya usahili kwa walimu

    Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

    Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa! Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha. Pia...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyewahi kuwa masikini kwa kutoa.

    Poleni na majukumu wana-JamiiForum. Ni imani yangu wote mpo salama. Kama kuna anayepitia changamoto Mungu awe faraja kwako. Nimekuwa mfatiliaji wa kipindi cha 'Ushauri wako' kinachorushwa saa 2-3 asubuhi siku ya Jumapili Radio Free Africa. Kwenye hiki kipindi huwa wanahojiwa wahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoa ndizi mbivu kutoka dar kupeleka kisiwa cha Mafia

    Habari wana jamvi. Kisiwa cha Mafia ni mojawapo ya wilaya zinazounda mkoa wa Pwani. Kutokana na aina ya wakazi wa kisiwa hiki kuegemea sana kwenye shughuli kuu ya uvuvi na kilimo cha nazi, imesababisha mazao jamii ya matunda na mbogamboga kuagizwa kutoka dar. Nimeona biashara ya kununua...
  14. JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na mabomu ya kutoa machozi

    Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake. Songea sehemu yenye hewa safi haraka iwezekanavyo Osha uso wako kwa kutumia maji ya baridi. Pia, unaweza kutumia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma. Kwa mfano, ajira...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

    Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo Uliwahi kukutana na hii hali?
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  18. JamiiForums Tanzania 2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 4 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    Bado siku 4 tu kufikia Septemba 21, 2024, ambapo tuzo zitatolewa kwa Washindi wa Awamu ya 4 ya Shindano la Stories of Change (SoC). Mwaka huu (2024), kupitia maandiko ya washiriki kwa ubunifu mkubwa yamelenga kuboresha mustakabali wa Tanzania kwa kipindi cha Miaka 5-25, kwa kuzingatia Dhima ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

    Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo. Ushahidi wa yeye kusema uongo ninao na anakili kuwa kapewa pesa. Nichukue hatua gani msaada tafadhari?
  20. JamiiForums Tanzania Kutoa fungu la kumi unamtolea Mungu sio mwanadam. Toa ukutane na Mungu

    Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…