kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Harmonize aliishia wapi ile project ya kutoa chakula??

    Naona Jaden Smith Kapita nayo huko,je harmo amefeli wapi.
  3. JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoa Uhuru kutoka kwa hatari zote

    Heshima kwa mabudha na bodhisattvas wote. Hivi ndivyo nilivyosikia wakati mmoja. Mwenye Baraka alikuwa akisafiri katika nchi ya Magadha alipofika kwenye shamba la mwembe. Katika shamba hilo la maembe, aliishi katika Pango la Miamba la Indra kwenye Mlima wa Vaidehaka. Śakra bwana wa devas...
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya kustaajabisha: Mwanaume aliyeoa mara 130 na kutoa talaka zaidi ya 80

    ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE. Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
  6. JamiiForums Tanzania UKOO: Hakuna Mgumu wa Kutoa Sauti, Hata Mmoja

    Nina uchungu. Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo. Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa. Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri. Nchi haina baba na waliopo ndiyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

    Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular. Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini? Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu. Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji Hanang, mkoani Manyara

    Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji leo Mei 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha miundombinu ya usafiri na kukuza shughuli za kiuchumi katika eneo hilo. Stendi hiyo ya kisasa inatarajiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

    Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe. Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari. Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kutoa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake

    SERIKALI ITAENDELEA KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE. Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali kupitia Halmashauri za mkoa wa Mwanza inaendelea kutekeleza jukumu la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake waliokidhi vigezo kwa kuzingatia Sheria, taratibu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Namba 0792705831 imetajwa ila sijasikia jeshi la polisi kutoa kauli ina maana tusibiri ya tokee halafu mseme hamfahamu?

    Hii nchi sasa ni FUTUHI kama kamanda mriro NSSF umri anasema kuwa wale sio askari wake na video zinaonyesha naweza amini kuna baraka zote. Mbona simu za wizi zina kamatwa au wale matapeli wanao tumia namba za simu. Tusifike mbali hivi tukio likitokea mbona mnajua mawasiliano na namba zao. Je...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania msiogope vitisho vya hawa wasiokuwa na akili wanao wateka watu ili wasizoee tunauwezo wote wa kuwakabili na kutoa funzo

    Naona kwa anae kosoa serikali sasa hivi anapigiwa simu za vitisho, hii hali sasa imeanza kuota mapembe kwenye utawala wa samia sikuwai kusikia kitu kama hiki hapo awali. Ninachotaka kusema kwamba watanzania tunapaswa tuipinge kwa nguvu zote isizoeleke tunazo nguvu zote kuikomesha tabia hii...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali. Kitendo hicho...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu upelelezi haujakamilika, yaahirishwa hadi Mei 19,2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa Talaka, mume anaruhusiwa kumrudia mkewe?

    Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!? Nawasilisha
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  20. JamiiForums Tanzania Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…