Miaka kadhaa iliyopita taklibani miaka mitatu , katika moja ya maeneo ya kanda za kusini, kulikuwa na familia iliyotazamwa na wengi kama familia ya mfano mume na mke waliishi pamoja na watoto wao wawili katika nyumba nzuri iliyozungukwa na uzio mkubwa walikuwa na biashara iliyokuwa ikienda...