Kutisha (Russian: Кутиша) is a rural locality (a selo) in Levashinsky District, Republic of Dagestan, Russia. The population was 1,922 as of 2010. There are 22 streets.
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni...
Je, unaonesha nguvu kama kinga yaani unafanya deterrence/intimidation strategy ili watu wasikusogelee, ama unafanya concealment/low profile defense ili adui akija kichwa kichwa umfanyie kitu kibaya?
Wanajeshi wa JWTZ hupendelea intimidation strategy. Wamepasua sana tofauli kwa nyundo kwenye...
ZANZIBAR HUSTLER NI KITABU CHA KUTISHA
Kiasi cha miaka miwili iliyopita nilikuwa nakisoma kitabu cha Khamis Abdalla Ameir, "Maisha Yangu."
Sikufika mbali mwanzo tu wa kitabu nikaamua kuanza kuwaeleza wasomaji wangu wanaonisoma kuwa kitabu cha Khamis Abdalla Ameir ni kitabu cha kutisha sana...
●Kutoka katika kalamu ya Chriss Gabriel Mwaluko huu ni uchambuzi wa kina wa The Black Death. Hii si hadithi tu ya ugonjwa, bali ni ushahidi wa kipindi ambacho dunia iligubikwa na giza, hofu, na mabadiliko makubwa yaliyozaliwa ndani ya maumivu
Kifo Cheusi: Safari ya Kutisha ya Tauni (1347–1351)...
Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM.
Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
Haijawahi kutokea nchi kuwa na kiongozi mropokaji kama huyu wa sasa. Huyu mtu ni mropokaji na mwongo wa kutisha.
Anawadanganya wajinga eti Tanzania inaongoza kwa uwingi wa uranium. Haelewi hata tofauti ya proved, indicated na proble reserves. Anasema eti Tanzania ina reserve ya tani laki 8! Huo...
Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo.
Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu...
Nilichogundua kuna videos nyingi sana, lakini zinatolewa kwa mkakati maalum.
Kila wiki, video itatolewa kulingana na ukubwa wa athari inazoweza kuleta kwa hisia za watazamaji, kufikia December zitaanza kupandishwa videos zisizotazamika mara mbili.
Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi.
Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila...
Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda.
Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono.
Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika...
Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu.
Msikilize hapa.
https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!.
Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?.
Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
1: Devil's advocate
Kijana mwanasheria machachali kutoka mji mdogo ana kuwa recruited kwenda kwenye law firm ya kitajiri na anapewa kila kitu ambacho hata aliowakuta hawakuwahi kupewa, lakini anakuja kugundua aliajiriwa na shetani kutetea wafanya makosa ya hatari, kinachofata ni sokomoko.
2...
Tanzania kwa sasa iko katika mtafaruku wa mkubwa wa kutisha wa uongozi unaotia ndani mambo ya kutisha sana, ambayo mtu yeyote mwenye akili akitafakari anapaswa kutetemeka kwa hofu.
Mara nyingi hali kama hii inapojitokeza katika nchi huwa kunakuwa na njia mbadala ya kurekebisha mambo, lakini sio...
Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10 inahitaji trillion 300. Hizi anazipata wapi kama mwendokasi mbagala kajenga kwa miaka 5 just 20 kilometers...
Wasalaam.
Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo.
Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.