kutimiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Twaha Mpembenwe: Nimekuja Kutatua Kero na Kutimiza Ahadi

    Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti. "Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
  2. Kipenzi Changu

    Mh. Mbowe kama ameshindwa kutimiza malengo makuu ya Chama, kutaka tena si uroho wa madaraka?

    Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni; Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  4. W

    LGE2024 Lema: Hakuna mazingira huru kabisa ya uchaguzi, ila imenipasa kutimiza wajibu

  5. mdukuzi

    Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

    Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu. Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini, Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent, Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya...
  6. John Gregory

    ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  7. K

    Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  8. ELI COHEN

    Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  9. realMamy

    Kadhia anazokumbana nazo Mtoto wa kike hadi kutimiza ndoto zake

    Hii iko wazi kuwa Mtoto wa Kike anakumbana na Vikwazo vingi sana hadi kutimiza ndoto zake. Vikwazo hivo huanzia Pale tu anapozaliwa katika familia ambazo zilihitaji Mtoto wa Kiume kuwa wa Kwanza ili kupata mtoto wa kuendeleza ukoo na kurithi mali. Basi huanza kubaguliwa kuanzia hapo yeye na...
  10. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  11. T

    Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

    Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .? Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  12. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kupitia ilani ya Uchaguzi, CCM iliahidi kwa maneno na maandishi; Hivi sasa inatekeleza na kutimiza ahadi zake kwa vitendo

    Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM? Ndugu Wananchi, Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za...
  13. mngony

    Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  14. Greatest Of All Time

    Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  15. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  16. J

    Je, umefika wakati Wapalestina kutambua Muslim Brotherhood wanatumia vibaya ili kutimiza agenda yao ya kisiasa?

    Kwa Watanzania wengi Muslim Brotherhood unaweza isiwasitue sana hasa ukizungumzia ubaya wa Ugaidi. Lakini tusichojua ni kuwa Muslim Brotherhood ndiyo ambao wamekuwa nyuma ya panzia ya utendaji wa Alqaida, ISIS Salafi na kwa sasa Hamas. Muslim Brotherhood ilianzishwa mwanzoni kabisa mwa Karne ya...
  17. R

    Je, Mbowe amefanikiwa kutimiza lengo alilokusudia?

    Kwa waliomsikiliza Mbowe jana alikuwa na malengo makuu matatu Kwanza, kuonyesha jamii wazi kwamba Chadema walitimiza wajibu wao kama walivyoombwa na viongozi na jamii kwa ujumla kwamba wakae kwenye maridhiano na CCM kwa maslahi mapana. Ameonyesha walitekeleza lakini Chama cha Mapinduzi kimekataa...
  18. passion_amo1

    Huu ni uzalendo au bado Serikali yetu inashindwa kutimiza majukumu yake?

    Natumai ni wazima wana jamvi? Hii Taarifa ya mwaka Jana Dec 30, ndugu mmoja mfanyabiashara kisiwa cha gana wilaya ya Ukerewe, amejitolea nyumba yake iwe sehemu ya kituo cha Polisi baada ya kuwepo kwa matukio katika kisiwa hicho yaliyokithiri. Ikiwemo wizi wa injini za maboti ya uvuvi, ulevi...
  19. Juuchini

    Wanasiasa waige Mfano wa Makonda kwenye kutimiza ahadi zao

    Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na Mwanamuziki wa (HipHop) Nchini Bw. Joseph Haule Maarufu Professor Jay. Mwenezi Makonda...
  20. T

    Muigizaji Brad Pitt asherehekea kutimiza miaka 60 na mtoto mbichi wa miaka 33

    Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt. Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects...
Back
Top Bottom