Naam ni vipimo vya kuthibitisha kama wakubwa wanafurahi ama la.
Pia vitakuwa vinatuma taarifa TCRA ili kuokoa muda kwamba jambo fulani limewakasirisha wakubwa.
Pia kipimo hakitajali tafsiri ya katiba ya uhuru wa kutoa maoni bali itazingatia uchawa na furaha ya wakubwa.
Sema AMINA
Nguli wa biashara ya dawa za kulevya nchini Mexico, Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kwa jina la El Mencho, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kujeruhiwa na risasi katika operesheni ya kijeshi iliyofanyika Jimbo la Jalisco nchini humo.
Akizungumza na vyombo vya habari Jumanne Februari 24...
Waandishi wa Quran walikuwa ni wa kina nani na baada ya uandishi wake kukamilika nani walioithibitisha kwamba maudhui yake ndio Yale yale yaliyotoka kwenye kinywa cha Muhammad bila kupotoshwa au kukosewa kwa bahati mbaya kibinasamh au kwa makusudi na waandishi wenyewe?
Anaandika Godlisten Malisa
Hii inaweza kuwa political spinning tu. Kwenye strategic communication & media framing kuna kitu kinaitwa “biased interpretation” yani kutafsiri picha kwa upendeleo ili kuunda taswira chanya kwa jamii.
Hujawahi kuona mtu anapiga picha na mtu mashuhuri halafu...
Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo ameiita ni sehemu ndogo tu ya uchunguzi wao, waliainisha mambo ambayo tu wanaweza kuyathibitisha...
Unapohitaji msaada wa kuthibitisha Taarifa tembelea JamiiCheck.com kama anavyosisitiza Abella Bateyunga, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Bora Initiative, ili kupata Taarifa sahihi na kwa wakati.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo cha wananchi. Leo, limethibitisha kuwa ni jeshi la wananchi na si la watawala. Bila aibu, woga wala ukatili, kwa amani na furaha, limesimama na wananchi kiasi cha kushangliwa. Sijui, kwa nilichoona, Sami anangoja nini? Kongole jeshi letu. Shilkilia...
Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba
He who alleges must prove
Utangulizi
Mheshimiwa IGP Camilius Wambura,
Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia.
Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu.
Hata hivyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi.
Akizungumzia uwekezaji katika...
Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE
1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania
2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia,
3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia
4. Joyce Banda- Malawi
https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse
Mashahidi hao watatu ni:
===============================================
"DEATH ROW DIARIES”
Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
Mdau shiriki kuthibitisha Video inayomuonesha mwanamke anayeendesha pikipiki katika barabara inayoendelea kujengwa kwa zege kama ni halisi au imetengenezwa.
Sio wote walio magereza wana hatia.
Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986.
Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika
Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail
Hearing...
Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema.
Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa.
Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
Makuhani na mafarisayo walimtaka Yesu awake ishara akawaambia kama Yona alivyokuwa kwenye tumbo la samaki siku tatu kisha akatoka basi na yeye atakuwa kaburini siku tatu na kutoka akiwa mzima tena. Lakini alipofufuka alikuwa akiishi maisha ya kificho. Aghalabu tunaambiwa takribani aliwatokea...
Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa nyakati za uchaguzi hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya maamuzi sahihi.
Shikamana na Jukwaa...
Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ?
Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini?
Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
Nipo tiyari kukosolewa lakini Kwa uthibitisho tu na sio mbwembwe zingine.
Kwanza hakuna kwenye biblia sehemu yoyote Ile watu walifanya harambee ya kumnunulia mtume ama nabii punda ama farasi Kwa Wakati huo maana hapakuwa na magari Wala pikipiki.
Hivyo usafiri wao ulikuwa Punda,Ngamia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.