WanaJf,
Salaam!
Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:-
(a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana na wanawake wakidai haki zao". Kwa mukitadha huu vijana na wanawake kutodai haki zao kwa mjibu wa CDM...
Naomba wajuzi wa mambo Pascal Mayalla na Lucas mwashambwa mnisaidie uelewa na wengine wasio na uelewa kama mimi. Hivi ni vigezo gani vinatumika kumteua DC au kumtengua DC.
Hawa walioteuliwa wana sifa gani na waliotenguliwa wana matatizo gani.
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao.
Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
Kidumu Chama cha mapinduzi,
Pongezi na hongera kwa kila mmoja aliyefanikisha uchaguzi wa Chama na jumuiya kwa ngazi zote. Mmefanikisha kuitekeleza demokrasia kwa vitendo.
Kesho tarehe 07/12/2022 Chama kinakwenda kuhitimisha uchaguzi kwa kuchagua viongozi wakuu wa chama na wajumbe wa NEC Taifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi.
“Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo kila nikutana na jambo ambalo kwangu naliona haliendi sawa, napatwa a burning desire to ask...
Nashauri Rais anapoapishwa tu apewe muda fulani kwa Kutulia ili aweze Kuchagua Watendaji alio na uhakika nao Kiufanisi ili anapowateua basi wafanye Kazi na siyo kuteua Watu (Watendaji) kwa Kubeti au Kubahatisha kama inavyoonekana sasa.
Kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE hasa kwa hii tabia ya sasa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea. Kumbukumbu zinaonyesha Zuhuru atakuwa mwanamke wa kwanza kushika...
Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?
Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na...
Siamini kabisa mambo yanayofanywa na polisi wetu kama kuna weledi wowote wa kiufundi unaozingatia taaluma zao. Naona kabisa shida kubwa zamani tukikosa wasomi recruitment ikawa inachukua darasa la 7 na huenda hawa ndio Ma-RPCs na OCDs wengi na baadhi ya Waandamizi pale HQ. Hii ndio shida...
Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED
1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration;
2. Securing compliance with the...
Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji.
Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo zote za majaji na ndio maana kadri siku zinavyokwenda idadi ya majaji wasiotokana na mfumo wa mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.