kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina kanuni za Kutengeneza Mafuta ya Petroli, Dizeli, na Kerosene

    Habari Wana jamii forum, Nina kanuni za kutengeneza mafuta ya Petroli, Dizeli, Jet A1, na Kerosene. Hii ni teknolojia ya kisasa inayoweza kubadilisha namna tunavyofikiri kuhusu nishati na uzalishaji wa mafuta. Teknolojia hii inahitaji ufahamu wa kina, lakini wakati ikitumika vizuri, inaweza...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya kutengeneza Matofali ya ujenzi..

    Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Pakistan waliwezaje kutengeneza na kumiliki silaha za nuclear bila kuingiliwa na Marekani?

    Hivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche

    Wadau Salaam! Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
  5. JamiiForums Tanzania Yoyote anaekupa channel/road map ya kutengeneza money keep them close automatically hao ndio familia.

    Mheshimu sana mtu yeyote anayekuonesha njia ya kupita na kutengeneza pesa. Sio anaekupa pesa.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Barua Pepe (Email) Nyingi Bila Kikomo Kutoka Akaunti Moja ya Gmail

    Je, ulijua kwamba ukiwa na akaunti moja ya Gmail, kwa kweli una uwezo wa kuwa na anuani za barua pepe zisizo na kikomo? Mbinu hii inaweza kuwa na matumizi mengi muhimu sana. Unaweza kufanya hivyo kupitia mbinu inayoitwa “plus addressing.” Plus Addressing ni nini? Plus addressing ni njia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu kujifunza kutengeneza Furniture

    Wakuu habari, Nahitaji sehemu kama workshop nikajifunza kutengeneza Furniture za kisasa. Kama kuna sehemu ama mtu ana ofisi nitafurahi nikajitolea. Ikiwa kuna malipo kidogo naweza kulipia nifikie lengo. Asanteni. Mawasiliano: 0759226857 Nipo Mbezi ya Kimara.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa na fundi wa kutengeneza SAUNA kiasi cha TZS 3,500,000

    Habari wakuu, fundi wa kutengeneza sauna , hyu niliingia nae makubaliano anitengenezee sauna na nikamlipa tzs 3,500,000 lakini toka wakati huo mwaka Jana mwezi October anapiga chenga na hajawahi kufanya lolote. Nimetumia njia nyingi kudai pesa yangu lakini haijawahi kuleta mafanikio Zaid ya...
  10. JamiiForums Tanzania Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutengeneza $20- $50 kwa siku online?

    Dunia sasa hivi imeenda digital (AI) hivyo naomba tupeane michongo ya jinsi ya kutengeneza hela ndogo ndogo online (genuine website); BILA kujumuisha betting Hata ukiwa na mchongo tofauti ila unao uelewa vizuri sio ule wa kusema tu; nenda kalime matikiti/ Nyanya wakati hata mahindi hujawahi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza vioja kwa lengo la kulichafua Kanisa Katoliki kunadhihirisha uwezo mdogo wa akili wa wapanga huo uovu

    Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Finally: Nchi yetu 🇹🇿itapata kiwanda cha kutengeneza mabasi kitakachowekwa pale Kisarawe, Pwani

    Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Kiluwa ambaye ndiye Mwenyekiti/Mmiliki wa Makampuni ya Kiluwa Group Tanzania ( KG), amesema yupo tayari kuyaleta Jijini Dar es salaam Mabasi ya Abiria ya MAZ kutoka Ulaya kwa ajili ya kubeba Abiria wa ‘Mwendokasi’. Kiluwa ameyasema haya leo January 19 Jijini...
  14. JamiiForums Tanzania AI gani nzuri kutengeneza video na picture ?

    Habari ya mwaka mpya Naomba kujua AI gani nzuri kutengeneza video na picha zikawa km OG
  15. JamiiForums Tanzania Allah alimfundisha Mtume kutengeneza Kimea

    Ndugu zangu Waislam Quran 16 : 67 "Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili." Tumeruhusia kutengeneza kunywa na kuuza vilevi. Tumswalie mtume. Jagina gallow bird adriz Ertugrul Bey Wazolee Cc...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza Kutengeneza Pesa Mtandaoni Bila Mtaji (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    ❌ Tatizo la Watu Wengi: Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani. Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu . Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji 1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza Sabuni

    Shalom Shalom wanaJF Kulikua na mdau anauza mashine ya kutengeneza sabuni ya miche naomba anicheck pm tujadili
  18. JamiiForums Tanzania Najiuliza ya kwamba, Serikali yetu ya Tanzania inashindwa nini kutengeneza Kijiji Cha vijana kama incubation center

    Najaribu kuwaza tu, unaweza kugharimu shilingi Ngapi kuanzisha...vijiji vya incubation center kwa ajili ya vijana ambao pale watajifunza mambo kadha wakadha..km vile Technolojia za kisasa...Kilimo, viwanda...mafunzo ya Vocational training km VETA, Uchimbaji wa madini, uchakataji wa Vito...
  19. JamiiForums Tanzania Makampuni 25 yanayoongoza kutengeneza Silaha za Kivita Duniani

  20. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

    Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism. Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha. Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…