Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao.
Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
Samahani naomba kuuliza hivi hizi gari za STL zinaruhusiwa kutembea na Plate Number nusu kama hivi au isiyosomeka vizuri maana kuna nyingine pia nimeiona inayo mbele tu nyuma hakuna.
Au yawezekana Polisi hawaruhusiwI kuwasimamisha wao!!!?… 🤯🤯
Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach.
Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha.
Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake.
Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha.
Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi.
Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu.
Utanishukuru.
Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps...
Habari wakuu,
Kimsingi, kuna nguvu ya asili inayoumba uwepo wa uhai duniani. Kati ya nguvu nyingi, nishati ya umeme ni moja ya muhimu inayoumba maisha. Jua limekuwa chanzo kikuu cha nishati hii 🌞. Tunapopokea miale yake moja kwa moja, mwili unachochea uzalishaji wa vitamini D, mimea hupata nguvu...
Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote.
Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha matangazo katika mitandao ya kijamii kama Instagram wanawapa siku 30 ili kuweza kujisajili na...
Habari za muda wana jf.
Kwa wale wapenzi wa workouts, jogging, lifting weights, HIIT cardio na abs hapa ni jukwaa letu sahihi la kujadili ana na kubadilishana mawazo.
Kwenye platform mbalimbali za mitandao ya kijamii kumekuwa na mabishano makubwa sana miongoni mwa trainers! Na mabishano hayo...
Miti ni waponyaji.
Unapokaa chini ya mti au kuukumbatia, unahisi nishati yake ya uponyaji. Ina nguvu ya asili inayotuliza akili na mwili.
Katika nchi kama Japani, kuna tiba inayoitwa Forest Therapy (Shinrin-yoku) — yaani tiba ya kuwa msituni — ambayo hutumika kusaidia watu waliokumbwa na...
Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.