Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi .
Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema.
Majina...
Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
LEO TUONGEE NA WANAUME βοΈ
Mijini hasa majiji haya makubwa kama Dar unaweza kutana na mwanaume akakuomba shilingi mia tu ya muhogo ila kila ukimwangalia unabaki na maswali mengi, sio vibaya kuomba ila nani anafanya hivyo? Na ukiangalia yuko tu kijiweni na hana ulemavu.
Mara kadhaa unaweza sikia...
Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
1. Afghanistan
Msaada: Kulingana na ripoti za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Afghanistan inategemea msaada wa kigeni kwa zaidi ya asilimia 70 ya bajeti yake ya maendeleo (UNDP, 2021). Hali ya usalama duni na migogoro inaendelea kuathiri utegemezi huu.
2. Haiti
Msaada...
UTANGULIZI
Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI.
Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake.
Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua.
Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida.
Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na gin mfano tufanye smart na konyagi tofaut ni ipi katika kuumizana maana me nachojua zote ni sumu...
Ni kitu ambacho siku zote sijakielewa, na labda ndugu zangu Waislamu watanisaidia hapa. Kufunga najua ni suala la kujipa muda wa kutafakari matendo na maisha yako na kuboresha uhusiano wako na Mwenyezi Mungu. Sasa sielewi kwa nini jambo hili lihusianishwe na kuonekana au kutoonekana kwa mwezi...
Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
Habari zenu!
Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia.
Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
"...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
Iwe ni madini, mbuga za wanyama, ardhi yenye rotuba, vyanzo vya maji, vivutia, n.k. you name it, vimerundikwa kwa upendeleo wa ajabu sana hili bara.
Yani ni ule upendeleo wa wazi wazi, Laiti kama haya mabara yalikuwa yametuma barua za maombi ya rasili mali kwa Mungu basi Africa alikuwa ni...
Utangulizi:
Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
Nashangaa sana tunajivunia watu ambao siyo wetu mpaka tunafikia kusema eti wamewakilisha taifa.
Kiukweli huko ni kujidanganya na kujipa sifa za kijinga kabisa. Inajulikana wazi kuwa asilimia kubwa ya hawa watu ni wacongo na wanazipenda nchi zao hamuwezi kuwanyanganya haki hoyo hata iweje kwa...
Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu,
Mawasiliano piga 0746021481
Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo.
Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika.
Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la...