Katika dunia ya kidigitali, kuna fursa nyingi za kufanya biashara, kupata huduma, na hata kujifunza. Lakini pamoja na faida hizi, kuna pia hatari ya kutapeliwa. Matapeli wanazidi kuwa wabunifu na wanatumia njia mbalimbali kama WhatsApp, Instagram, Facebook, na hata websites feki ili kuwaibia...