kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi

    NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Uncle Mbowe. Wachaga tumetumwa kutafuta hela sio sifa

    Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa. Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu mkubwa. Niwazi uncle Christmas itakuwa safi sana. Tukutane Hai, wamachame tuna jambo letu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi 2025

    Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:- 1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi. 2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
  5. JamiiForums Tanzania Je, tumekuwa Rwanda kwa kutafuta vyeo vya kimataifa kama ni miradi ya maendeleo?

    Nchi ndogo kama Rwanda mikakati yake kutafuta maendeleo inaweza hata kumstaajabisha mtu. Unakuta wako kila umoja wa ushirikiano lakini ni kwa ajili ya vigogo wao kupata ulaji. Wasipopata mambo yanakua sio mazuri. Hebu fikiri, wapo commonwealth, na ufaransa ilipowafuatilia ili warudi umoja wa...
  6. JamiiForums Tanzania Toka Mchamba Wima hadi Iran, nahitaji kwenda kutafuta maisha

    Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea. Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu. Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutafuta sababu fiche kwenye kila sababu inayo onekana kama chanzo

    Aliyekuacha kwenye mahusiano kuna uwezekano mkubwa sababu siyo hiyo aliyokwambia bali ni ile aliyokuficha sema kapitia hiyo kama njia ya kufanikisha njama yake ya muda mrefu. Ulisema tatizo huna kazi baada ya kupata ukahamia kwenye tatizo mshahara mdogo ila ukweli mchungu ni kuwa kuna...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Arusha na Dar es Salaam sio miji ya kutafuta upendo wa kweli, hiyo ni miji ya "utafutaji" maisha

    👉Hii miji imekaa kitapeli tapeli inapofika kwenye swala lz mahusiano Kila mtu kamtarget mwenzake be carefully 👉Linda moyo wako, nguvu zako zote, pesa na muda wako 👉Dares-Salaam na arusha ni kwa ajili ya biashara tu na si vingine
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tunateswa na home sickness, tuutumie Utandawazi kutafuta green pastures kwenye Nchi zingine

    Habari za leo Wana forum. Kwanza kabisa naomba nichukue nafasi hii kumchukru na Kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo na diplomasia yetu na mataifa mengine. Naomba ndugu waTZ tujue kwamba kukua kwa diplomasia ni Ajira, heshima pia ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kenya yavunja Mikataba na Adani (Ruto aagiza taasisi husika kutafuta watoa huduma wengine kwa mchakato wa Upanuzi wa JKIA)

    Rais wa Kenya William Ruto, ameagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India. “Nilishawahi kusema huko nyuma, na narudia tena leo kwamba kutokana na ushahidi usio na shaka au taarifa za kuaminika kuhusu rushwa...
  11. JamiiForums Tanzania Chalamila na Janabi acheni kutafuta Kick kwenye Maisha ya watu

    Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories. Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu...
  12. JamiiForums Tanzania STORI FUPI: Jinsi ya kutafuta furaha yako

    STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa “Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
  13. JamiiForums Tanzania Mwana FA: Serikali Itasaidia Kutafuta Wadhamini Michuano ya Bahati Ndingo CUP

    Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira. Mhe...
  14. JamiiForums Tanzania Agizo la kwanza la Trump kwa Zelensky kwamba ajikite kwenye kutafuta amani siyo yale maeneo

    Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri. Best wishes Mr Trump.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa familia yako iishi vizuri, Suala la kutafuta pesa nyingi ili kumlinda mke ni ushamba.

    Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi, Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  17. JamiiForums Tanzania Niaje Kuwa na ‘Side Hustle’? Kutafuta Hela Zaidi au ni Kukosa Tamaa?

    Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha bora au ni tamaa tu ya kutoridhika na mshahara wa mwezi? Kila mtu anapambana kutafuta hela za...
  18. JamiiForums Tanzania Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

    Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria. Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa kutafuta simu zangu mbili zilizoibiwa

    Habari wadau Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata. Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nimerudi JF kutafuta mchumba

    Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke. Sifa ninazoziangalia. Awe mwislam. Asiwe mchaga. Mwembamba au mnene wastani. Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5” (1.67m). Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto). Awe tarari kupima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…