kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Kuishi Dar es Salaam uwe na akili ya kutafuta pesa

    Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza pesa. Kila kitu ni pesa, ukimsimamisha mwanamke njiani ukimuona namba badae ataanza kukuelezea shida...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara waanze kutafuta uhuru wao hatua ya 2 kama wenzao wa Afrika ya Magharibi

    Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo. Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
  4. JamiiForums Tanzania Mbinu za Kuwa Tajiri(Milionea) - Sehemu ya II(Part Two)

    Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune. Wewe unayefanya biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  6. JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi. Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
  7. JamiiForums Tanzania Simba walienda uwanjani kutafuta sababu ya kugoma kucheza, waadhibiwe tu

    Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
  8. JamiiForums Tanzania Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
  9. JamiiForums Tanzania Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

    Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance. Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
  10. JamiiForums Tanzania Dunia ya kibabe; Suala Marekani kukaa na Russia kutafuta utatuzi wa mgogoro wa rus - ukraine, bila Ukraine kuwepo hili limekaaje?

    Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kutafuta wafanyakazi au kutafuta kazi kwa wasio na sifa rasmi

    Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Fiji kutafuta life nipeni abc zake

    Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu mbalimbali waliowahi fika uko au wanajua mengi kuhusu uko. #Toka magheton, ingia kiwanjani
  13. JamiiForums Tanzania Usitafute mapenzi umri wa kutafuta pesa

    "USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA" Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA. Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa Nje Nje, Na Unazipata Haraka. Ila Kuna Umri Ukifika Hata FURSA Kuzipata Inakuwa Mtihani wa Chuo...
  14. JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kukutana na changamoto gani katika kutafuta ajira

    Mimi nilikutana na matangazo haya ya ajira kwenye nguzo za umeme bhn mshahara 410k. Nikapiga simu, wakaniambia niende kwenye interview kesho yake pale Chang'ombe Junction saa 12 asubuhi na niwe smart sana, wakaniasa. Kesho yake, kama kawaida, nikaenda kutimba pale Chang'ombe. Nikampigia jamaa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Watanzania sasa tuulizane; Rais bado anasafiri duniani kutafuta misaada?

    Tulikwishakuwa omba omba wa dunia. Ikafikia hata kuomba na kupewa ikawa ni sifa ya mgombea urais. Kwamba eti awe anajulikana duniani. Baadaye marais wetu wakabweteka. Ukawa mtindo kusafiri. Kama kawaida ikawa kama ngoma, wapo waliozidisha. JK yeye aliishi hewani kuliko hata rubani. JPM akafunga...
  16. JamiiForums Tanzania Kutafuta mwenza nyakati hizi ni jambo gumu ,linaloonekana jepesi machoni pa watu waliotanguliza hisia badala ya akili

    Habari za usiku waungwana.. Ni jambo lililo wazi kimaumbile kuwa mwanadamu mwenye utimamu wa akili na mwili anamhitajia mwenzake wa jinsia nyingine ili kukamilisha muunganiko wa kimaumbile unaoleta stara ya kibinadamu. Ni jambo muhimu kwenye maisha ya mtu yeyote mwenye kuyatazama mambo kwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

    Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako? Ninakuleta suluhisho thabiti! Ninajitokeza kama wakala wa masoko na dalali wa bidhaa, nikiwa na nia ya dhati ya kukusaidia kufanikisha malengo yako ya biashara. Nina...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kutafuta mke

    Mimi ni kijana wa kiislamu nina miaka 35 nahitaji mke pia mimi ni mweusi nafanya kazi serikali . Mke ninayemuhitaji awe muislamu kazi sio muhimu awe mweupe na asiwe na mtoto miaka isizidi 30 pia aipende dini na kupenda kuswali. Karibu sasa aliyeko tayari aje tujenge maisha yenye kumpendeza Mungu
  19. JamiiForums Tanzania Baadhi ya graduates hawako serious katika suala la kutafuta ajira

    Habari za weekend wakuu? Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli? 1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

    Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia. Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…