kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Picha za Mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku kwa wanaume.

    Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu. Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku. Hakika tutakula kwa jasho. Mathayo 6:6-9 "Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba. Baba yetu uliye mbinguni Jina lako Litukuzwe Ufalme...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  3. JamiiForums Tanzania Mwezi huashiria nini?Tanzania tumekosa kutafuta msamiati wa mwezi ili kutofautisha?

    Mwezi ni nguvu ya asili yenye kuleta giza ndiyo nishati inayotupatia wakati wa usiku. Mwezi ni jumla ya wiki nne ambapo kuna siku takribani 30/31/29 na kwa mwaka mzima tunapata miezi 12. Wazungu wametumia neno msamiati MOON kumaanisha nishati,vile vile wametumia neno MONTH ikimaanisha idadi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
  5. JamiiForums Tanzania Waajiri wanawapa wakati mgumu wahitimu wa vyuo kutafuta kazi

    Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo. Walimwambia kuwa hawamuhitaji kwani wanachuo wengi wanafundishwa kwa theory sana na sio practice. Kwa stahili...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaotafutana kwa kukaribiana umri mnakosea sana, inachangia sana migogoro. Sijutii kufanya maamuzi ya kuoa kwa gap la miaka 10

    Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26 kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri. Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini" Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

    Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

    Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo...
  9. JamiiForums Tanzania Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7, Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18 Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash niliyoishika na umri wangu huh wa zaidi ya miaka 25 ilikuwa ni laki nne na sabini ambayo niliikusanya kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga imejiandaa vyema na mchezo na ipo imara kwenda kutafuta matokeo

    Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kwenda uwanjani kupambana ili kupata matokeo. Yanga haiendi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo. Mpira ni mchezo wa kugombania...
  11. JamiiForums Tanzania Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

    Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula? Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula? Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si...
  12. JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, kuwa mkakamavu na mwenye bidii ya kutafuta

    Ukiwa mvivu, mlegevu na asie na bidii, maarifa wala kujituma katika kufanya kazi, kila kitu kwako utaona kimekosewa, kina makosa, dosari au kasoro nyingi sana... Utaishia kulala sana magetoni nyumbani na ukiamka utakunywa chai ya mama na kuanza kulalamika tu, kulaumu, kughadhabika na kuhemka...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Mimi sikuja kutafuta wachumba, nimekuja kufanya kazi

    Rais wetu wa Jamhuri tukufu ya Tanzania Hayati John pombe Magufuli, u hai. U hai kwasababu Watanzania haipiti siku bila kukutaja kwa mema na kazi yako nzuri. Rais wangu leo hii tarehe 17.03.2024 tunapoadhimisha siku yako rasmi ya kuitwa katika makazi ya milele, majonzi na huzuni hutawala...
  14. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kutafuta maisha mjini

    Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life) Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
  15. JamiiForums Tanzania Hupaswi kutafuta fedha, unapaswa kujiongeza thamani ndipo fedha zitakutafuta wewe

    Mtu anayetafuta pesa ataishia kupata pesa ya kula siku moja au mbili kisha atakuwa mtumwa daima. Yaani kila akitaka kufanya jambo lazima ahangahikie pesa ya hilo jambo kisha atalifanya kwa taabu na kurudi tena kuhangahikia fedha . Itakuwa ni cycle ya maisha yake mpaka uzee au kifo No rest time...
  16. JamiiForums Tanzania Akili za kibiashara kwa Watanzania ni za kutafuta, ndio sababu tuna Watanzania wachache matajiri

    Uchumi wa Tanzania kwa asilimia kubwa upo kwa wageni. Yes! Matajiri wengi waliopo Tanzania sio watanzania kwa asili, wengi wana asili za nchi nyingine. Hii ni kwasababu hatuna akili za biashara kabisa. Niliposoma gazeti hili la majira kuhusu sakata linaloendelea ndio nikaona shida zaidi. Agha...
  17. JamiiForums Tanzania Mayele acha kutafuta kiki kupitia Yanga

    Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni wao tunamtakia Kheri Ila tunamkumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu aibu...
  18. JamiiForums Tanzania Castle mwanajamvi nina kutafuta ndugu

    Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu. Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako. Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.
  19. JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  20. JamiiForums Tanzania Israel yafukua makaburi kutafuta mateka.Hakuna aliyepatikana mpaka sasa

    Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka. Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga kambi zao za muda juu ya makaburi hayo. Kitendo hicho kimewashangaza watetezi wa haki za binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…