cold water
Senior Member
- Oct 6, 2021
- 183
- 687
Naomba kuniandikia barua ya kingereza (short & clear), lengo kuu ni kuomba kazi kwenye shule ya day care kama mhasibu. Maisha kusaidiana Asanteni.
Aaah nitajibu bosstutakuandikia sawa vipi sasa kwenye mahojiano ya kazi yakaja kwa lu
Linagoma Ku ji attach modes sijui wananifutia lina load vizuri tu hadi asilimia 100% lakini ali ji attach.Weka Tangazo mkuu ,
Nahitaji kuchukua baraka hizo
Una taaluma ya uhasibu halafu huwezi kuandika barua ya kuomba ajira?Naomba kuniandikia barua ya kingereza (short & clear) ,lengo kuu nikuomba kazi kwenye shule ya day care kama mhasibu.Maisha kusaidiana Asanteni.
Linagoma Ku ji attach modes sijui wananifutia lina load vizuri tu hadi asilimia 100% lakini ali ji attach.
Una taaluma ya uhasibu halafu huwezi kuandika barua ya kuomba ajira?
Mkuu ukisaidia hili ni kama unasaidia uhalifu.Msaidie mkuu kumwandikia
Kama haukosomea Tz ndo unaweza kushangaa hayo mambo
Chat gpt ni nyooooko!!ChatGPT
Subject: Application for Accountant Position at Day Care School
Dear [Recipient's Name],
I am writing to express my interest in the Accountant position advertised for your Day Care School. With a strong background in accounting and a passion for supporting educational institutions, I am excited about the opportunity to contribute to your team.
My experience includes [briefly mention relevant experience or qualifications]. I am confident in my ability to manage financial records accurately and efficiently, ensuring compliance with all regulations and policies.
I am particularly drawn to your school because of its commitment to providing quality care and education to young children. I believe that my skills and dedication align well with your mission, and I am eager to be part of your community.
Thank you for considering my application. I look forward to the possibility of discussing how I can contribute to the success of your school.
Sincerely,[Your Name]
Kwa hisani ya chatGPT 3.5
Hiyo ndo hali waliyonayo vijana 90% so tuwapige Tafu wasogee sehemu.Mkuu ukisaidia hili ni kama unasaidia uhalifu.
Mkuu angalia CV yako
Then angalia na Tangazo la kazi then ingia katika AI
Itakuletea barua then wewe uta-edit sehemu unazohisi hazijakaa sawa.
All the best.🙏🏽.