kutafuta maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana wa kikristo anatakiwa kukaa kwao hadi atakapooa hata kama ni miaka 50. Umasikini wa wazazi ndio unapelekea watu wakimbie kutafuta maisha

    Kwa Mujibu wa maandiko mtu huoa kutokea kwao sio magetoni au alipopanga au kujenga. Mzazi wa Kikristo anatakiwa kuwa na utajiri sio tu kuhudumia familia bali urithi kwa wajukuu wa watoto wake. Mithali 13:22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; <br>Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa...
  2. Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda...
  3. Waridi wa BBC Suzana Michael: 90% ya Wadada wanaoenda kutafuta Maisha Ulaya, Marekani na Asia huishia kufanya Ukahaba

    "Nilipokuwa Mdada na kuona Maisha yangu hayaeleweki niliamua kupambana ili niende Nje ya nchi nikiamini huko ndiko kuna Maisha mazuri ila najuta kwani niliishia kuwa Kahaba ( Malaya ) kwa Miaka miwili hadi kuamua kurejea nchini Tanzania ambako nimegundua kama ukijipanga hapa kuna Maisha mazuri...
  4. Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

    UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA Anaandika, Robert Heriel Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka Acha. Ooh! Mimi ni kijana, nina miaka 25, sina hili wala lile. Sijui nikatafutie wapi Maisha. Mimi...
  5. Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza. Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
  6. Kwanini wengi wa wanaoenda Marekani kutafuta maisha huwa wanarudi hawana kitu na kama vile kisaikolojia hawako sawa?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili. Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
  7. M

    SoC02 Dhana miongoni mwa watu kwamba huwezi kufanikiwa pale ulipozaliwa (kukulia) na msemo wa,”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  8. Usiogope kujilipua kwenye kutafuta maisha, hakuna njia rahisi

    Huenda nikawa tofauti kimtazamo na wengine lakini kama kijana inabidi uwe mbunifu na risk taker. Usijali kuhusu hasara siku zote biashara ngumu zenye hasara kubwa ndobiashara zenye mafanikio. Ukipata fursa ya kwenda kutafuta maisha ughaibuni hata kama nikwakuvuka bahari kwa kutumia mashuwa vuka...
  9. Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

    001: umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu. Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
  10. Kipi ndio bora Kati ya kuoa kwanza ndio utafute maisha ama uweke Mambo yako sawa kwanza ndo uoe?

    Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao. Vijana wengi ckuiz wamejiaminisha kwamba lazima utengeneze Mambo yako hasa ya kiuchumi ndo uvute mwanamke ndani na wapo wengine ambao wanaamini kijana...
  11. Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA! Anaandika, Robert Heriel. Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa...
  12. Nakuja Dar kutafuta maisha, nimechoka kukaa nyumbani

    Habari wakubwa Naomba niseme tu nimechoka kukaa nyumbani kuwa kula kulala, maisha ya kukaa nyumbani yamenichosha natamani na mimi nianze kujitegemea nianze kulipa kodi, ninunue chakula kwa pesa yangu mwenyewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…