kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

    Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list kabisa. Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio 😅🤣😂
  2. JamiiForums Tanzania Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

    Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini. Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tumeukumbatia muziki wa Afrika Kusini ila style hii tunaikwepa

    Muziki wa Afrika Kusini uko "influenced" sana na historia zao za mapambano dhidi ya ubaguzi. Style zao za uimbaji na uchezaji zinatoka moja kwa moja katika viwanja vya mapambano ya kudai usawa na kupinga ubaguzi wa rangi. Style yao mpya ya muziki wa Amapiano imemix mitindo hiyo ya zamani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

    🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma: "Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  6. JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote. Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic

    Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic, najua humu kuna watu washawahi kuishi au kufatilia any news kutoka South Africa. Nimeshangazwa na baadhi ya waafrika kusini kumtambua kocha huyo kama Plumber. Yeyote mwenye exposure na hili suala naomba ufafanuzi
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Mkoa wa Kinondoni Kusini- Kimara/Kibamba

    Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba. Umeme Kila siku unakatika katika ndani ya muda mfupi na wakati mwingine kukatwa kwa muda mrefu kwa maelekezo...
  9. JamiiForums Tanzania Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  10. JamiiForums Tanzania Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

    Embu ona! CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA. Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize...
  11. JamiiForums Tanzania Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

    Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42 Habari kamili ni hii hapa The female falcon was equipped with a GPS tracker during...
  12. JamiiForums Tanzania Kizimkazi Health Center Yazinduliwa Kusini Unguja

    KIZIMKAZI HEALTH CENTER YAZINDULIWA KUSINI UNGUJA Pichani ni Muonekano wa Kituo kipya cha Afya Kizimkazi au KIZIMKAZI HEALTH CENTER katika Wilaya ya Kusini Unguja ambacho kimezinduliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, tarehe January...
  13. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Korea Kusini inashangaza

    Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli. Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya sheria za kijeshi ili kudhibiti wakomunisti wa China na Korea Kaskazini kujipenyeza katika siasa za...
  14. JamiiForums Tanzania Ngumu kuipiku Kaskazini - Kusini, Visiwan tuwe wapole!

    1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire ndo zinaongoza kuingiza pato kiutalii Tanzanite inatoka Kaskazin pia 2. Nipo Kaskazini...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Korea Kusini limewazuia polisi 3000 kumkamata Rais aliyeondolewa madarakani na bunge

    Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuchochea kuimarika kwa biashara ndani ya kundi la nchi za Kusini

    Wakati changamoto za uchumi duniani zikiendelea kuonekana, na wanasiasa wa mrengo wa kulia katika nchi za magharibi wakiendelea na hata kutamka maneno mbalimbali yenye viashiria vya kutatiza biashara huria duniani, takwimu zilizotolewa na Jarida la Guancha la China, zinaonesha kuwa biashara...
  17. JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  18. JamiiForums Tanzania Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

    Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000. Silaha...
  19. JamiiForums Tanzania KANDA YA KISINI: Sisi kusini tunakwenda Lissu Mwamba Mbowe badala ya kutuvusha sisis kavuka mwenyewe na familia yake

    ***** 1.Kanda ya kusini yenye mikoa ya Ruvuma Mtwara Lindi ni kanda ya mwisho kabisa kwenye akili za Mbowe au haipo kabisa ni muda sana aliamua kuizika kwa kuingia biashara ya jumla na wapinzani wetu ccm, alikwamisha harakati, alikuwa hafuatilii chochote hata akijulishwa anapiga kimya...
  20. JamiiForums Tanzania Rasmi, Bunge la South Korea lapiga kura kumuondoa Rais Yoon Suk Yeol madarakani baada ya kutangaza utawala wa kijeshi

    Wakuu, Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo. Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…