kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
  2. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 212 wahukumiwa kifo huko Kivu kusini

    Mahakama ya kijeshi, huko DRC, Kivu kusini, leo tarehe 14 Februari 2025, imewahukumu wanajeshi 212 kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia adui,kosa lililotafsiriwa kuwa ni usaliti wa kiapo. Mbali na hukumu hiyo, wote wametakiwa kulipa faini ya dola za kimarekani, laki mbili. Mashitaka...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe Kuwania Uongozi wa Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

    Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika leo Februari 11, 2025 kwenye...
  4. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Meja wa Burundi auawa huko Kivu kusini

    Meja Evariste Ndayizeye kutoka jeshi la Burundi, anaesadikika kuwa miongoni mwa wapiganaji mahili, ameuliwa na M23 huko Kivu kusini. Ni katika mapambano ya M23 kuhakikisha inaudunga uwanja wa ndege wa Kavumu. Inasemekana kwamba mpaka sasa, wapiganaji wapo umbali wa Kilometa saba na...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuja kundi la watu wasioamini ubaguzi wa rangi(apartheid) uliwahi kutokea Africa Kusini?

    Katika kila tukio kubwa lilowahi kutokea Duniani kuna watu wengu wanaoamini conspiracies mbalimbali kuhusu hilo tukio kinyume na historia inayoaminiwa na wengi. Mfano kuna watu wanaamini mauaji ya kimbari dhidi ya wayahudi (holocaust)hayajawahi kutokea, CIA ilimuua Kennedy, dunia ni tambarare...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Zero Brainer, Mtanzania mwenye wafuasi wengi TikTok, ashinda Tuzo Afrika Kusini

    Mchekeshaji na mtengeneza maudhui wa mitandaoni Mtanzania Zero Brainer ameshinda tuzo ya "Sports Creator of the Year TikTok Awards 2024" katika tuzo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Februari 9, 2025 Jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Soma: Watanzania huyu mchekeshaji Zero Brainer...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma amefariki akiwa na umri wa miaka 95

    Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95. Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana Hili hapa tangazo la Tanzia = Tangazo la Kifo cha Rais wa Kwanza wa...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazungu wa Afrika Kusini wakata kata kata ofa ya Trump ya ukimbizi Marekani.

    Baada ya jana Trump kusaini amri ya kukata msaada kwa South Africa pamoja na kuruhusu kupewa hifadhi ya ukimbizi Marekani kwa wazungu wa Africa Kusini(Boers) anaosema wananyanyaswa na serikali ya Africa Kusini, wazungu wenyewe wa huko wamepuuzilia mbali hatua hizo wakipaza sauti kila kona kwamba...
  9. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

    Nchi ya Burundi, inayohusika na vita vinavyoendelea mashariki mwa Congo, kupitia makubaliano ya ushirikiano kwa mambo ya kisalama, kuanzia Septemba 2023, na hili jambo liliifanya Burundi kuwa mshirika mzuri kikanda. Burundi imeweza kupeleka nchini Congo wanajeshi wapatao elfu 10 kulisaidia jeshi...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini

    Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
  11. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  12. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo?

    Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel. Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

    Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Africa Kusini

    Anaitwa Angie Motshekga, ana miaka 70, ni mwalimu kitaaluma.
  17. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kutokomeza migogoro inayotokea hapa Afrika hususani ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Habari wakuu! Kutokana na migogoro ambayo haiishi hapa katika nchi zetu za Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara napendekeza baadhi ya mambo ambayo yatadumisha amani yetu. 1.Viongozi wa Africa waungane na wamalize tofauti zao zisio na tija kama tunavyoona baina ya Kagame na Tshisekedi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

    Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list kabisa. Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio 😅🤣😂
  19. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

    Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini. Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tumeukumbatia muziki wa Afrika Kusini ila style hii tunaikwepa

    Muziki wa Afrika Kusini uko "influenced" sana na historia zao za mapambano dhidi ya ubaguzi. Style zao za uimbaji na uchezaji zinatoka moja kwa moja katika viwanja vya mapambano ya kudai usawa na kupinga ubaguzi wa rangi. Style yao mpya ya muziki wa Amapiano imemix mitindo hiyo ya zamani ya...
Back
Top Bottom