kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hofu ya no reforms no election; Amos Makalla atangaza ziara ya kusini

    Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani. CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu. Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya kusini: Wananchi wa Naipanga wasimamisha Msafara wa Tundu Lissu wasalimiane

    Wananchi wa Naipanga, jimbo la Nachingwea wasimamisha msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu uliokuwa unaelekea Masasi. Mwenyekiti akasimama kuwasalimia wananchi hao. #NoReformsNoElection
  3. JamiiForums Tanzania Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

    Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
  4. JamiiForums Tanzania Wazulu nje ya Afrika kusini

    Hii ni picha ya Wazulu wa Malawi, inayoitwa "Ngoni." Wanazungumza na kutekeleza lugha na utamaduni wa Kizulu na kufuatilia asili yao hadi KwaZulu. Sote tunawafahamu Wandebele (Wazulu wa Zimbabwe), lakini Wazulu wanapatikana kote Afrika Mashariki, katika nchi kama Malawi, Zambia, Msumbiji, hata...
  5. JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya uhamiaji haramu huko Afrika Kusini!

    Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣. Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi! Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo. Halafu kuna hii hoja ya...
  6. JamiiForums Tanzania Picha za Tundu Lissu Nkasi Kusini, asema DC Lijualika ni Mtoto wa Laana

    Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana. So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM. #NoReformsNoElection Picha hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara waanze kutafuta uhuru wao hatua ya 2 kama wenzao wa Afrika ya Magharibi

    Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo. Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

    Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump. Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Marekani wasababisha uhusiano kati yake na Afrika Kusini kuzorota

    Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha sheria mpya kuhusu ardhi, na hivi majuzi tu, Marekani ilimfukuza Balozi wa Afrika Kusini nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Magari kutoka afrika kusini

    Habari za wakati huu members wa jf Nina swali kidogo Je ni kwanini magari mengi kutoka afrika kusini ambayo nimeyaona au kuja hapa tanzania ni magari kutoka jimba la Gauteng police (GP) na siyo majimbo mengine Na ikiwa kila jimbo lina plate number yake? Ikiwa umewahi kuyaona weka evidence
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

    Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani. Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika Kusini, ni mtu anayeendekeza siasa za ubaguzi wa rangi, na anayemchukia Rais Trump, na kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania M23 yaitia doa, dosari na hasara Afrika Kusini

    Wakati SADC ikikubaliana kuondoa majeshi yake nchini DRC, Uongozi wa Saouth Afrika waanza kuandaa mazungumzo na kundi la M23. Mazungumzo haya,ni baada ya kuahidi uongozi wa South Afrika kuwa,wanajeshi wake wakijisikia kutembea mjini Goma,wanaruhusiwa,ila, bila silaha. Changamoto kubwa upande...
  13. JamiiForums Tanzania Major Claude NDIKUMANA wa jeshi la Burundi, akamatwa akiwa mzima na M23 huko Kivu kusini

    Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba. Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania na Afrika Kusini kukuza wigo wa Ushirikiano

    Tanzania na Afrika Kusini kukuza wigo wa Ushirikiano Tanzania na Afrika Kusini zinatazamia kukuza wigo wa ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati kwa manufaa wananchi wa pande zote mbili. 
Hayo yanesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa SADC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea faru weupe kutoka Afrika Kusini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo katika...
  18. JamiiForums Tanzania Mvua ya Jumapili huko Durban Afrika Kusini yaleta madhara kwenye makaburi

    Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini. Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma. Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda. Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
  20. JamiiForums Tanzania M23 yawatangaza Gavana na manaibu Gavana wa Kivu kusini

    Kundi la AFC/M23, leo 28 February 2025, limewatangaza viongozi wapya wa jimbo la Kivu kusini, ambao ni • Bwana BIRATO RWIHIMBA Emmanuel, Gavana wa jimbo • Bwana DUNIA MASUMBUKO BWENGE, Naibu gavana wa mambo ya siasa, uongozi na sheria. • Bwana GISHINGE GASINZIRA Juvénal, Naibu gavana wa uchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…