kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaahidi kukomesha mashambulizi ya kibaguzi nchini humo

    Mamlaka nchini Afrika Kusini siku ya Ijumaa zimeahidi kuwachukulia hatua kali wale wote wanaohusika na mashambulizi ya kibaguzi (xenophobia) dhidi ya Waghana na raia wengine wa kigeni. Hatua hii inakuja siku moja tu baada ya Ghana kulalamika vikali kufuatia kusambaa kwa video za matukio ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nje: Hakuna Mtanzania aliyeshambuliwa Afrika Kusini katika ghasia dhidi ya Wageni

    HAKUNA RAIA WA TANZANIA ALIYESHAMBULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI Wizara inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hakuna raia wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini aliyeshambuliwa kutokana na ghasia dhidi ya wageni nchini humo (xenophobia). Aidha, Wizara inauhakikishia umma wa Watanzania kuwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Muziki waunganisha tamaduni katika shindano la kuimba kwa Kichina nchini Afrika Kusini

    Wanafunzi vijana kutoka kote Cape Town, nchini Afrika Kusini, walileta nguvu na shauku kubwa katika sherehe ya utamaduni wa Kichina siku ya Jumamosi, wakati Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Cape Town (CIUCT) ilipoandaa Shindano lake la tano la Kuimba kwa Kichina, ikiangazia wazo kwamba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ona ukatili unaofanywa na Africa ya Kusini kwa wageni

    Wanawapiga wageni!
  5. JamiiForums Tanzania Tanapa Nyanda za juu kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji

    Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inarudisha nyumba ukanda mzima kwenye haki (Kenya -Africa kusini)

    Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia nchini kwetu tena ni watu wachache tu. Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yakataza Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20

    Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi hiyo, ikimaanisha kwamba watashindwa kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Wakuu wa Benki Kuu wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Iran wameishiwa mbinu wanataka kulipua makampuni binafsi, ni kama Tanzania ipigane na SA halafu ianze kulipua viwanda vya blueband na Vaseline, Kenya

    Iran imetangaza kuanza kushambulia makampuni binafsi ya raia wa Marekani ambayo yana ofsi ukanda wa mashariki ya kati,kampuni hizi ni kama Microsoft, Google, Nvidia, Tesla, n.k. Wameshindwa kabisa kuangusha hata ndege moja ya f35 na kumkamata rubani kuwe na ushahidi usio na shaka wameona...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi Israel, Katz: Wakazi 600,000 wa Lebanon kusini hawataruhusiwa kurudi kwenye makazi yao tena

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Katz: amesema; "Wakazi 600,000 wa kusini mwa Lebanon ambao wamehamishwa hawataruhusiwa kurudi hadi usalama wa wakazi wa kaskazini mwa Israeli utakapohakikishwa. Nyumba zote katika vijiji vilivyo karibu na mpaka wa Lebanon zitaharibiwa. Israeli itaunda eneo la ulinzi...
  11. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wabunge wawili wa Chato Kusini na Chato Kaskazini

    TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI Ndugu Wanahabari, Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vikwazo vitano visivyo vya kikodi vyapata ufumbuzi mpaka wa Tunduma/Nakonde kuchochea biashara za kimataifa kusini mwa Afrika

    HATIMAYE VIKWAZO VITANO VISIVYO VYA KIKODI VYAPATA UFUMBUZI MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE KUCHOCHEA BIASHARA ZA KIMATAIFA KUSINI MWA AFRIKA. Vikwazo vitano visivyo vya kikodi kati ya kumi vilivyokuwa vikisababisha msongamano mkubwa wa malori na usumbufu kwa wafanyabiashara na wasafirishaji katika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa Kusini kuweni makini na hao wafugaji kutoka kanda ya ziwa msije kupiga kelele baadae

    Kuna wimbi kubwa sana la wafugaji kutoka kanda yq ziwa hasa kwenye wakihamia mikoa ya kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma kuna makundi kwa makundi ya wafugaji wa jamii ya kisukuma wakihamia mikoa ya kusini na kuanza kupora ardhi na pia wengi wao kuwadhuru wenyeji wao kitu ambacho kinaleta taharuki na...
  15. JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa China na Afrika waweka mfano mpya wa ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia. Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Maendeleo ya Dunia litahimiza uhuru wa kiuchumi wa nchi za kusini: Mhadhiri wa UDSM

    Kwenye mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), Rais Xi Jinping wa China alitoa Pendekezo la Maendeleo ya Dunia (GDI) likiwa na wito wa kuleta maafikiano kuhusu kufuata maendeleo, kuhimiza ukuaji wa pamoja na kusaidia kuharakisha utekelezaji wa ajenda ya Umoja wa mataifa ya mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania Sio Buzwagi tu wanaiba Dhahabu, Sudan Kusini, tani 5 zaa dhahabu zinaibiwa kila Mwaka

    Ripôti mpya iliotolewa na shirika SWISSAID imeonesha kuwa nchi ya sudan Kusini huzalisha tani 5 ya dhahabu kila mwaka, lakini hakuna dhahabu inayorekodiwa au kusafirishwa kwa njia halali, hii ikiashiria namna serikali imeshindwa kusimamia uchimbaji wa madini licha ya kuwepo kwa kanuni, hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…