kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Umoja wa kiuchumi wa nchi za Amerika ya Kusini zimemkatalia Zelensky kuhutubia kwenye kikao chao

    Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa vibaya kwenye mataifa ya mashariki ya kati, Asia, Amerika ya kusini na Afrika. Alikubaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

    Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
  3. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini watishia kuzifuta katika ramani ya dunia Japan na Korea Kusini

    "TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
  4. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Jijini Mbeya uzinduzi wa Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini ya Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki

    Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T. Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

    Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu wenye silaha wafyatua risasi baa, 14 wauawa

    Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10 wamejeruhiwa Kamishna wa Polisi Gauteng, Elias Mawela amethibitisha kutokea tukio hilo akisema...
  7. JamiiForums Tanzania Don K. “Mayaula Mayoni”, kiongozi wa Genge la wahalifu wa Pembejeo na bei ya korosho mikoa ya Kusini

    Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni. Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyenusurika kifo katika Klabu Afrika Kusini asema walikosa hewa kwa muda mrefu

    Binti mwenye umri wa miaka 17, mwanafunzi wa darasa la 12 katika shule ya Sekondari eneo hilo (jina limehifadhiwa) amesema kwamba walihudhuria sherehe katika klabu ya East London kwa sababu waliarifiwa kwamba iliandaliwa waigizaji mashuhuri Anasema kwamba watu walipozidi kuongezeka, baadhi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kisa cha kwanza cha Monkeypox chagundulika Afrika Kusini

    Afrika Kusini imeripoti kuwa na kisa cha kwanza cha Virusi vya Monkeypox, ikiungana na nchi nyingine 40 ambazo zimeripoti kuwa na virusi hivyo. "Mgonjwa ana umri wa miaka 30, ni mwanaume kutoka Jiji la Johannesburg, hana historia ya kusafiri. Mchakato wa kumfuatilia unaendelea,” anasema Waziri...
  10. JamiiForums Tanzania Rally Bwalya atambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini

    “Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL," kauli ya Rally Bwalya wakati akitambulishwa kuwa mchezaji wa Amazulu ya Afrika Kusini. Timu hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Watu 87 hawajulikani walipo baada ya Mafuriko ya Mwezi Aprili nchini Afrika Kusini

    Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

    Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili. Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shaka awanyosha CHADEMA Kusini Maelfu ya Kadi, Bendera na nguo akabidhiwa kumrudisha Mbowe

    Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa China ailaumu Marekani kwa kushindwa ikiwa kama kiongozi anayeshughulikia vikwazo vya Sudan Kusini

    Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun jana aliilaumu Marekani kwa kushindwa kutimiza wajibu wake ikiwa kama kiongozi wa Baraza la Usalama anayeshughulikia vikwazo vya Sudan Kusini. Wajibu wa kiongozi anayeshughulikia vikwazo ni kusaidia Baraza la Usalama kutoa azimio...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

    Yaani tu yaani...
  17. JamiiForums Tanzania Mafuriko yafanya uharibifu mkubwa Afrika Kusini

    Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao. Mafuriko hayo yameharibu miundombinu mingi ikiwemo barabara, majengo, hasa maneo ya Durban. Uharibifu huo umetokea...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfahamu Mkenya aliyeiwezesha uchaguzi wa Afrika Kusini wa 1994 kufanyika

    Kuna watu wanaopenda kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika. Mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa 1994 kufanyika. Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa watu wa kabila la Zulu alikuwa amekataa kushiriki...
  19. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kusini mwa Africa waliowahi kucheza soka Tanzania

    Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
  20. JamiiForums Tanzania Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…