kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026

    Durban, South Africa SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026...
  2. JamiiForums Tanzania Inakuwaje wanaweka nyanya Dodoma to Chalinze halafu umeme ukatike Nyanda za Juu Kusini?

    TANESCO wanakata umeme nyanda za juu sababu wanatandaza nyanya Dodoma-Chalinze. Hii kijiografia na kiusambazaji wa umeme imekaaje maana hainiingii akilini?
  3. JamiiForums Tanzania Yesu aliyerudi kwa mara ya pili anasota rumande huko KOREA KUSINI. Anaomba tumuombee aachiwe kwa kuwa yeye ni mzee na pia ni mgonjwa

    Man Lee Hee ambaye anadai yeye ni Yesu aliyekuja kwa mara ya pili ametiwa mahabusu kuanzia mwezi wa sita kwa makosa ya kuharibu uchaguzi wa rais na kwa kosa la kuwaandikisha waumini wake zaidi ya 50,000 kwenye chama cha kisiasa. Yesu huyo mwenye miaka 95 anaomba tumuombee aachiwe huru, kwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran

    Video inayosambaa mtandaoni, ikionesha mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran kwa mashambulizi yaliyofanyika jana usiku. Kabla ya hapo, waziri wa Kuwait alisisitiza kwamba nchi yake haitumiwi na jeshi la Marekani kuishambulia Iran.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

    Salaam.. Naam kama Heading inavyojieleza hapo, hizi bus zimetuachia kumbukumbu nyingi tamu katika miaka hapo tajwa kwa wasafiri wa Nyanda juu kusini. Mkurugenzi wa hizo bus Hayati Solomon Mwakadabila sijui alizipa maelekezo vyuma vilikua masaa muda wote hakuna kupoa upande yoyote ilimradi iwe...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa "minara" kwenye magari ya abiria kusini unawakwaza wateja/wasafiri, mamlaka ondoeni hii adha

    Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani. Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU, Jakaya Kikwete kabla ya uchaguzi wa kihistoria wa 2026

    Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026 June 2026 Juba South Sudan Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe wa AU Jakaya Kikwete anaanza mashauriano ya ngazi ya juu mjini Juba huku Sudan Kusini ikiendelea na...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imetoa orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila VISA

    Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
  9. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  10. JamiiForums Tanzania Siku niliyoenda Afrika Kusini ndipo nilipoelewa kwanini watu wengi kule vibonge

    Siku niliyoenda Afrika Kusini ndipo nilipoelewa kwa nini watu wengi kule wanaonekana wanene. Nilipata nafasi ya kutembelea Pretoria. Kitu kilichonishangaza ni kwamba ilikuwa vigumu sana kupata vyakula vya asili kama tulivyozoea Afrika Mashariki. Maduka mengi na migahawa mingi ilikuwa imejaa...
  11. JamiiForums Tanzania Machafuko (Xenophobic attacks) Afrika Kusini faida kwa Utalii Tanzania

    Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Afrika ya kusini dhidi ya waafrika wenzao utawatafuna wenyewe kombe la dunia!

    Waangalie hapa walivyosheheni kwa silaha za jadi: pinde, mapanga, fimbo, marungu wakiwa tayari kuwashambulia waafrika wenzao walioko Afrika ya kusini.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  14. JamiiForums Tanzania Nape atishia kutoiunga mkono bajeti Wizara ya Ujenzi kisa barabara ya Kusini

    Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kinakwenda kuwa chama tawala kama ANC ya Afrika Kusini

    Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri. Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani. Nguvu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mafwele, soma historia ya Eugene de Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika Kusini

    Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
  17. JamiiForums Tanzania Msanii wa Africa kusini "TYLA" atoa kalenda ya mwaka 2026

  18. JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mugabe afukuzwa Afrika Kusini

    Mahakama Nchini Afrika Kusini imeamuru Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, Bellarmine Mugabe, kufukuzwa Nchini humo baada ya kukiri kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria pamoja na ukiukwaji wa taratibu za uhamiaji. Katika hukumu hiyo, Mahakama imeeleza kuwa Mugabe mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…