kushindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kupoka ugombea Uraisi Kwa njia isiyo ya Ki-Demokrasia na Sasa kutumia Vyombo vya Dola kuzuia wapinzani wa Kweli ni Dalili za Ushindi au Kushindwa.

    Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda. Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utalaumu sana wengine kwa kushindwa kwako ila tabia yako pia kuna namna inakukwamisha

    Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu. Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako Unaweza...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wakulaumiwa ni wale wale walioaminiwa na kukabidhiwa majukumu lakini wakazembea kuyatekeleza kikamilifu

    Wadau hamjamboni nyote? Uzembe hautakiwi, haukubaliki na huleta hasara, majuto, usumbufu na kutishia amani Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  5. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania Pombe, Viduku, Milegezo Vimini Chanzo cha Wengi kushindwa Usaili Serikalini

    Habarini wakuu Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja...
  6. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ccm mmeamua kumsaliti mdau wa maendeleo Justin kimodoi na kushindwa kuuleta Mwili wake Tanzania ili uzikwe!

    Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi . Changamoto kubwa ni pesa. Hii ndo Ccm
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  8. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  11. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Usikubali kushindwa kirahisi kwenye mahusiano

    Asili ya maisha ni kuforce tangu kuingia mimba (wakati wa tendo hadi jasho) hadi kuzaliwa kiasi wengine hadi njia inaongezwa (poleni wanawake). Huo ni mfano mdogo tu wa asili ya maisha kuwa ni mwendo wa kutokukata tamaa na kukubali kushindwa kirahisi. Ukipata demu au mwanaume usikubali kukataa...
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa ujio wa Tundu Lissu, CCM na Samia itafika mahali wajutie kushindwa kwao kutekeleza maridhiano na Mbowe

    Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro. Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kwa hoja na Lissu, CCM yahamia kwenye propaganda mfu wakidhani Tanzania ya leo ni ya mwaka 1990

    Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kuanza kutengeneza propaganda mfu wakidhani wataweza kuendelea kuwarubuni Watanzania kukubali...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

    Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe. Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

    Wanaukumbi. Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled for this Saturday will be postponed until further notice. ========================= ⚡️BREAKING...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

    CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwa kushindwa kwake, Freeman Mbowe anakosa fursa zifuatazo

    Kusalimisha Diplomatic Passport yake haraka iwezekanavyo. Yeye sio signatory tena wa Chama pesa zinazoingia na kutoka hana access nazo tena. Popote pale duniani au mbinguni wakiitwa viongozi wa upinzani kuonana na mkuu yeyote hawezi kuhudhuria. Jina lake halitaimbwa tena kwenye media. Sehemu...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania IDF Chief of Staff, Herzi Halevi atangaza kuwa atajiuzulu Machi 6, kwa kuwajibika kutokana na shambulio la Hamas la October 7

    Wanaukumbi. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi amemjulisha Waziri wa Ulinzi Israel Katz kwamba anakusudia kujiuzulu mnamo Machi 6. Katika taarifa, Halevi anasema anaondoka jeshini baada ya "kutambua wajibu wangu kwa kushindwa kwa IDF mnamo Oktoba 7, na katika wakati ambapo...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof Kitila Mkumbo: Mbowe hagombei uchaguzi ambao anajua ataenda kushindwa

    Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
Back
Top Bottom