kushindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Motisha za Uongo kwa Vijana baada ya na Serikali kushindwa Kutatua Mahitaji ya Msingi Tanzania

    Kumekuwapo wimbi la vijana kupeana motisha za ajabu; mara siku hizi hatari kubwa kwa vijana Tanzania si kukosa ajira bali ni kukosa skills, mara AI ndiyo future na vijana wawekeze katika kujifunza teknolojia ya AI, mara dini ndiyo sababu kuu ya umasikini Tanzania; mara wasomi (shule) haina...
  2. JamiiForums Tanzania TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa. Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi SIDO Mbeya ndio wa kushindwa kunichongea spare part hii?

    Nimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa siku tunaanza kusumbuana mara sijui bits za kutobolea za drilling machine zinavunjika vunjika,je...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali haramu inang'ang'ania madaraka kwa sababu wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa

    Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa. Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi wataburuzwa sana wanatamani wachimbe shimo wajifukie wakimbie mbali. sasa hawa sisi tupo nao sana...
  5. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini marais na vyama vyao tawala vinapoelekea kushindwa ufanya maamuzi yanakuja kugawa nchi kuleta ubovu kabisa

    Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani. Katika tawala nyingi mambo haya utokea sana ili mradi wajihokoe kitawala. Je, hapa Tanzania kwa huyu Samia unafikiri nini anacho...
  8. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pastor Ng’ang’a awalaumu wabunge wa Kenya kwa kushindwa kuzungumzia vifo vilivyotokea nchini Tanzania

    Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya wachafuzi walioko Dodama kushindwa kufika Dar?

    Inawezekana Kuna mambo hatuyajui kijeshi yamewakwamisha wachafuzi pale Dodoma.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Aliye Madarakani Kushindwa Kuitikia Wapinzani na Kushindwa Kutatua Changamoto za Uchaguzi

    Katika siasa za Tanzania, msemo maarufu wa Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa nchi hii, "Akili ya kuambiwa changanya na zako" unatoa tafsiri ya kina kuhusu umuhimu wa kusikiliza na kujenga maelewano. Hii ni msemo inayosisitiza kuwa ni muhimu kutafuta ushauri na mawazo mengine kwa lengo la kuboresha...
  11. JamiiForums Tanzania TB Joshua alipita Tanzania kumpoza Lowasa baada ya kushindwa uchaguzi 2015

    Mnakumbuka jinsi TB Joshua alipokuja Tanganyika kumpoza Mzee wa kuzungusha mikono hewani. Baada ya kupigwa tukio
  12. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi akubali kushindwa kabla ya matokeo rasmi kutangazwa

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi nifanyeje ili kuondokana na hofu ya kifo,hofu ya kushindwa na hofu ya umasikini?

    Umasikini ni mbaya sana kiukweli nipo kwenye health services nikiwa mfanyakazi kiukweli naona jinsi watu wanavyo strugle kulipia huduma ya matibabu na jinsi wanayohangaika mpaka utawaonea huruma yaani kuna mtu unamshauri nenda kwenye high level of health facility lakini anakulilia wewe umsaidie...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ajiuzulu wiki chache baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi

    Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameamuwa kujiuzulu baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party, (LDP) kupoteza wingi wa viti kufuatia uchaguzi wa baraza la juu. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa Ishiba, mwenye umri wa miaka 68, anataka kuepusha mgawanyiko wa chama, huku...
  15. JamiiForums Tanzania Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako 🚮🚮 Acha ngozi nyeupe...
  16. JamiiForums Tanzania Baada kushindwa kupambana na Hamas Israel inapambana na raia na watoto ililenga moja kwa moja waokoaji wa Kipalestina hospital Nasser. Khan Younis

    Wanaukumbi. Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis. Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others ================ Israel ililenga moja kwa moja...
  17. JamiiForums Tanzania Naanza kushindwa mapema. Naombeni msaada wenu

    Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k. Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kushindwa narudi kijijini

    Chumba kimoja ninachoishi kimenikumbuka kuwa napoteza muda na maisha ya mjini; heri nirudi kijijini. Haiwezekani nina miaka 35 halafu bado naishi kwenye chumba kimoja. Ukiachilia mbali majirani kuniona 'mhuni' niliyegoma kukua, kuna sababu nyingine nyingi zimenilazimisha nihame. 1...
  19. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…