NAMNA YA KUSHINDA MIJADALA YA MTANDAONI!!
Ghadhabu imepanda, joto limekuwa kali sana baada ya kuona Mtu fulani akipingana na mawazo yako ama kupost jambo usilopenda mtandaoni linalopinga mtazamo wako wa kidini, kisiasa, kiafya, kiuchumi na kijamii? Basi, suluhisho si kughadhabika. Hapa...