kushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kamati ya Dino na Maridhiano Hawana la Kusema au kushauri suala la Lissu

    Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa. Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na...
  2. Genius Man

    PostGE2025 Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee

    Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
  3. Magema Jr

    GE2025 Ukipewa nafasi kushauri Jeshi la Polisi, Serikali na Rais, nini yatakuwa maoni yako?

    Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali, na IGP, wanapita hapa, kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea nchini ikiwemo utekaji, watu kupigwa, kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏 Ni...
  4. Mwande na Mndewa

    Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
  5. Mindyou

    CHATGPT yashtakiwa kwa kushauri kijana huyu ajiue

    Wazazi wa Kijana aitwae Adam Raine (16) huko California Nchini Marekani, wameifungulia mashtaka Kampuni ya OpenAI na Mkurugenzi wake Sam Altman wakidai kuwa Akili Mnemba ya ChatGPT (AI) imehusika na kifo cha Mtoto wao ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri juu ya mbinu za kujiua na kumsaidia kuandika...
  6. J

    Dini na Siasa ni maisha ya watu. Waacheni Maaskofu wazungumze

    Kufuatia funga ya Novena ya Kanisa Katoliki na Mahubiri ya Maaskofu wa Kanisa hilo Jumapili iliyopita, watu mbalimbali hususani wana CCM wamejitokeza kuwazodoa viongozi hao wa Dini kuwa wanachanganya Dini na Siasa na kuwataka waache mara moja. Mi nataka niwaulize, hivi ukiwa Kiongozi wa Dini...
  7. The Burning Spear

    Mstaafu Kushauri anapohitajika si tatizo Kinachomponza Kikwete ni historia yake mbovu ya uongozi

    GT Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete. Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala...
  8. Mwande na Mndewa

    Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
  9. Chilemba wamela pamputi

    Tusifikie hapa kwasababu hali inaweza kuwa mbaya zaidi , ni bora kushauri vyema kuliko kushauri hivi alivyo shauri huyu mtumishi

    Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
  10. proton pump

    Mbona wanawake ndio wanaongoza kwa kushauri wanaume kuoa?

    Naendelea kukusanya data kila siku. Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
  11. U

    Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani. Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa...
  12. K

    Kuhusu uchaguzi nashauri kianzishwe kitengo maalumu ya ushauri nasaha kushauri wanaoshindwa

    Uchaguzi halijawahi kuwa jambo dogo Kwa wanaoshindwa duniani kote ,hata aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump aliwahi kulalamika kuchezewa faulo iliyopelekea kushindwa na Joe Biden Rais wa Sasa wa Taifa Hilo lenye demokrasia kubwa zaidi duniani. Kutokana na mfano huo wa Trump na Marekani...
  13. R

    Ni sahihi kutumia walioingia mikataba mibovu kushauri kuivunja na baadaye kutuwakilisha mahakama za kimataifa tunaposhtakiwa?

    Mikataba yote Tanzania ya kimataifa wanatuwakilisha watumishi wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Mshauri Mkuu wa serikali kuhusu kuvunja mikataba hiyo ni Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Wanaotuwakilisha katika mahakama za kimataifa katika kesi tunazoshtakiwa nazo ni ofisi ya...
  14. Jaji Mfawidhi

    Sofia Mjema kushauri ndoa za utotoni

    Leo 22-10-2023 Serikali imetengua nafasi ya Katibu uenezi wa CCM -Sophia Mjema ambaye hajadumu hata kwa miezi 3 kutokana na kupwaya sana na baada ya nafasi ya kumuweka kukosekana imetengenezwa nafasi ya kuwa mshauri wa Raisi mambo ya wanawake na watoto; Serikali imesaini mkataba waDP World na...
  15. GENTAMYCINE

    Niliwahi Kushauri hapa kwa kuja na Thread kuwa Ndugu msipende Kusafiri pamoja katika Gari / Basi Moja nikapuuzwa

    Najua kuwa Kifo hakichagui, ila Kupunguza athari yake Kijamii inawezekana kama tu ukiwa makini. Hivi kwa mfano Ndugu mpo 30 mnatoka Dar es Salaam kwenda Shughulini Mkoani Dodoma kwanini nyote mpande Gari / Moja? Kwani mkijigawa Watu Watano Watano mpande Gari / Basi tofauti tofauti kwenda huko...
  16. Lord Denning

    Mzee Butiku ana lipi la kushauri kuhusu Uchumi?

    Hili halisemwi sana ila ndo ukweli wenyewe! Moja ya sababu zilizofanya Mwl. Nyerere aamue kung' atuka mwaka 1985 ni kutokana na kufeli kwa Sera zake za kiuchumi hasa za kijamaa. Ilifika kipindi watanzania walianza kuvaa nguo zenye viraka na hata ununuzi wa bidhaa madukani ulifanyika kwa...
  17. Pascal Mayalla

    Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

    Wanabodi, Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
  18. T

    Nafarijika kuona wazee wakitumika kushauri. Liundwe Baraza Kuu la Ushauri likiusisha Marais wastaafu

    Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu: i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora. iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
  19. R

    Mzalendo namba moja alikuwa wapi wakati nchi inapata nyufa za uadilifu? Au alijikita kupenyeza majina kwenye uteuzi akaacha jukumu mama?

    Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya kiusalama. Mhe. Rais ni kama anakuwa na taarifa za ubadhirifu, uharibufu na upotevu wa Mali za umma badala...
  20. GENTAMYCINE

    Nilipotabiri Ujio wa Kocha Olivieira Simba SC na ikatokea na Kushauri yafuatayo nilikuwa namaanisha

    Nilisisitiza mno kama siyo sana kuwa Kocha Mpya Simba SC Roberto Olivieira akitua Simba SC aje na Watu wake anaowaamini na kamwe asiendelee na Hawa akina Mgunda, Matola na Meneja Rweymamu aliowakuta GENTAMYCINE nilimaanisha na kuna Hatari niliiona na leo imejidhihiri. Nawaombeni rejeeni marejeo...
Back
Top Bottom