kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali inayoendelea nashawika kusema 2025 CCM iondoke madarakani au utawala ubadilishwe!

    Nchi yetu tangu 1960 baada ya wakoloni kutuachia nchi yetu kulikuwa na vitu vinaitwa miiko!! Kulikuwa na tamaduni zetu na haki ya watu kuishi kulingana na tamaduni zao!! Seke seke la Wamasai Ngorongoro linasikitisha sana! Hata kama mnagogoro na wao ndio muondoe huduma za afya na madawa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema mke ni rafiki sio ndugu

    Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako. Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema. Labda kama kuna mawazo mengine. muwe na siku njema.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona tumeshahamisha Goli, baada ya kusema Timu ipewe muda inajengwa, sasa tunasema Mashabiki tuwe Wavumilivu nayo

    Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo. Mpira...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba: Je Wajua Kila Kura Iliyomchagua JPM Pia Ilimchagua Samia?. Is it Right Kusema Rais Samia Hakuchaguliwa?, Basi 2025 Tumchague?.

    Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa hushuka na kwa maslahi ya taifa ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu kuijua katiba yetu. Je wajua kuwa kila kura Iliyomchagua Rais Magufuli kwenye ule uchaguzi mkuu wa 2020, pia Ilimchagua Samia?. It's not right kusema Rais...
  6. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu. Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kusema kwa ma agent wa Clautos Chama na Fabrice Ngoma kulalamikia timu zao haziheshimu kipengere cha kuwaanzisha first eleven?

    Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha ni ngumu kupata timu nzuri lakini kocha anaweka maslahi ya timu kupata ushindi mbele zaidi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ndiyo mnataka kusema kuwa Watanzania huu Wimbo mpya na Mtamu wa Twanga Pepeta uitwa Mmbea hamjausikia na Kuusifia?

    Bado sijaona kama Twanga Pepeta kwa Tanzania hii na bado sijaona Muimbaji mzuri kama Charles Baba Kingunge. Kitu kikipendwa na GENTAMYCINE jua hadi Malaika wa Mbinguni nao Wameshakipenda. Shikamooni Twanga Pepeta.
  9. Topman

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

    Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Simba wanatamani supu pia, wanashindwa kusema

    Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je tuendelee kuamini katika kudanganywa ?

    Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ? Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ? Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ? Je...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ashikiwa Panga na Baba yake baada ya kusema anataka kuoa

    Hili tukio limetokea mtaani kwetu bhana, Kuna jamaa this week alienda kuipa taarifa familia yake kuwa anataka kuoa na kumtambulisha mwenza wake kwa familia yao, sasa wakati anaulizwa maswali na Baba yake kuhusu tabia ili wamfahamu vizuri Mkwe wao. Jamaa akasema kuwa Binti anaetaka kumuoa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hawajui kusema hapana

    Moja kwa moja kwenye mada. Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napenda Utani wetu wa Simba na Yanga, ila hili la kusema kuwa akina Mzee Magoma na Wenzake wamefoji Sahihi na Nyaraka nalikataa tena kwa 100%

    Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mh. Nape Mosses amechagua kusema ukweli

    Mh.Nape M. Nauya amechagua kuwa mkweli kuwa kipindi chote huwa wanafanya hivyo apongezwe Kwa ujasiri wake wa kutoa silaa za kivita hadharani .
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe nimepitia changamoto ngumu ngumu ila hii ya sasa too much. Sasa naweza kusema hakuna jambo la kunipeleka kwa waganga au manabii fake

    Hello Hapo zamani Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja. Nimewahi kukosa mahali pa kulala. Nimewahi kulala porini peke yangu. Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji. Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5. N.k. N.k Baada ya miaka...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu J. Gwajima, ushahidi wa Mpina haujathibitishwa popote, hivyo huna HAKI ya kusema amedanganya

    Salaam, Shalom!! Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni. Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani. Umeenda mbali zaidi na Kutoa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Warumi ni watu wenye akili sana!

    Warumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana. Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma. Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu...
Back
Top Bottom