kusababisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngazi za jengo jipya hapa Msimbazi zamani DDC zimejengwa hadi eneo la watembea kwa miguu

    Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
  2. JamiiForums Tanzania Familia yadai ndugu yao kauawa mikononi mwa Askari katika Kituo cha Polisi Tabata Shule

    Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
  3. JamiiForums Tanzania Punyeto Inaweza Kusababisha Ugumba?

    Kupiga Punyeto: Punyeto (kujichua) ni kitendo cha kusisimua kiungo cha uzazi (uume/uke) kwa kutumia kitu tofauti na kiungo cha uzazi kwa lengo la kujiridhisha kingono. Madhara Ya Punyeto: Ikiwa kitendo hicho kitafanyika mara kwa mara na ikawa ni tabia huchangia madhara kwa mwanaume na...
  4. JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumbaka, kumchoma binti wa Miaka 17 kisha kusababisha kifo chake, akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ninawezaje kuitolea mashitaka idara ya uhamiaji kwa kusababisha kupoteza ufadhiri wangu?

    Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
  6. JamiiForums Tanzania Ndege ya Azerbaijan yaanguka na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan

    Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan leo na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za Kazakhstan. Katika operesheni kubwa ya uokoaji, manusura 29 wakiwemo watoto wawili waliokolewa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
  9. JamiiForums Tanzania Korogwe: Waziri Ndejembi amng’oa Afisa Ardhi kwa kusababisha migogoro

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro. Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Kupiga 'Love Bite' shingoni inaweza kusababisha mtu kupata Kiharusi (Stroke)

    Wakuu hii imekaaje aisee? Isije tukauma Watoto wa watu huko mtaani wakafia ghetto au kupata Stroke ile yenyewe sio stroke ya yale mambo?
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  13. JamiiForums Tanzania Tuchukue tahadhari madimbwi ya maji yanaweza kusababisha KIPINDUPINDU

    Mvua kubwa za mafuriko zilizopiga zilisababisha madimbwi mengi ambayo athari zake zimeanza kuonekana kwani Kipindupindu kimeanza mfano katika mikoa ya Pwani ya Kusini kuna dalili za milipuko ya kipindupindu. Tahadhari ni pamoja na kutokula kula ovyo sio unakutana na mandazi ya baridi unayapiga...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

    Nataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi. Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mikutano ya Hadhara ya Bobi Wine yasitishwa baada ya kudaiwa kusababisha Vifo

    Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana Watu wawili kufariki katika Mikutano hiyo Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku mbili tangu kuanza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  17. JamiiForums Tanzania Tangu kufariki Askofu Kulola, Kanisa la EAGT uongozi wake wa juu umeshindwa kuliunganisha kanisa bali kusababisha matabaka

    Tangu alipofariki aliyekuwa muasisi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dr. Moses Kulola, uongozi uliopewa dhamana kuliongoza kanisa hilo umeshindwa kuliunganisha kanisa hilo badala yake wamekuwa ni viongozi wanaolisambaratisha kanisa kwa mpasuko, matabaka, ukabila na kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

    The siege of Jerusalem of 70 CE was the decisive event of the First Jewish–Roman War (66–73 CE), in which the Roman army led by future emperor Titus besieged Jerusalem, the center of Jewish rebel resistance in the Roman province of Judaea. Following a five-month siege, the Romans destroyed the...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Polisi Ilula Iringa. Kuna viashiria vya RUSHWA kukithiri na kusababisha ucheleweshwaji wa huduma

    Nilipokea taarifa ya kifo cha baba baada ya kupata ajali ya pikipiki Februari 2024. Nililazimika kuahirisha mitihani ya chuo iliyokuwa imeanza siku mbili kabla ya kupata taarifa ya kifo cha baba. Nikarejea nyumbani kwaajili ya mazishi ya baba na taratibu zingine ikiwemo ufatiliaji wa hati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…