kurudishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  2. M

    Maria Sarungi amemuuza Rasmi Mange Kimambi. Funguo rasmi ya udhibiti wa umma iliyoporwa Oktoba 29, inaenda kurudishwa

    Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa. Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea. Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi. Imeshafahamika, Wanapiga CURFEW Wanazima...
  3. DELETED ACCOUNT

    Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  4. Echolima1

    Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  5. milele amina

    Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

    Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
  6. Graxsam

    Je kuna uwezekano wa mtu kuchukuliwa msukule na kurudishwa?

    Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze...
  7. E

    Aliyemuua Mkurugenzi wa Bima Marekani akamatwa, agoma kurudishwa alikokimbia

    Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia. Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia. Wakimlazimisha kumzoa kwa...
  8. gstar

    Fedha zilizo expire kurudishwa kwenye mzunguko, kuna harufu ya ufisadi.

    Tunapo karibia uchaguzi mkuu pesa itatafutwa kwa njia yoyote ile ikiwemo ya halali na ya haramu. Hatuwezi kupuuzia jambo dogo kama hili la kubadilisha fedha ambazo kimsingi zilisha pita muda wake wa matumizi, ni fedha zilizo kwisha ku-expire. Nadhani ni fedha ambazo hazipaswi kurudishwa tena...
  9. Gemini AI

    Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  10. Its Pancho

    Job kurudishwa national team Unafki wa kocha hemed moroco umejidhihirisha?

    Wakuu. Sote tulilaumu sana kwa kipindi kile kocha moroco kutomuita the big brain defender na hata tukapuuzwa kwa chuki zake za kijinga za kocha huyu, leo sasa mwenyewe kajirudi mwenyewe Hemed.🗣 Dickson Job ni mchezaji wa timu ya taifa na amerudi kwenye timu ya taifa na hii ni baada ya...
  11. GoldDhahabu

    Kabudi na Lukuvi kurudishwa kwenye Baraza la mawaziri: wamepandishwa vyeo au wameshushwa?

    Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena. Hiyo inamaanisha nini? 1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka) 2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
  12. M

    Nasikitishwa sana na tetesi za kurudishwa Magori, Barbra na wenzao, sijui wakishindwa na wao mtasemaje

    Wajinga wajinga wengi wanafurahi eti akina Magori wamerudi kuiokoa Simba, tena vyombo vya habari vya kijinga kabisa vinaandika Mamafia warudi Simba. Wana umafia gani sasa? Mafia enzi hizo alikuwa Kassim Dewji ambaye alipokuwa Katibu Mkuu wa Simba alipata sana misukosuko kutoka kwa akina...
  13. R

    Dirisha la udahili wa masomo chuoni limefungwa, nafanyaje kurudishwa kwenye mfumo

    Kijana alikuwa na tatizo la ada mpaka dirisha linafungwa akawa hajalipa ada ingawa alikuwa na control number. sasa amelipa karo/ada, only to find that he has been delete from the system. msaada gani anaweza kupata kurudishwa kwenye mfumo aweze kuendelea na shule?
  14. 713

    Ni wakati sahihi sasa wa kurudishwa kwa mali kale yetu iliyopo Ujerumani

    Habari za majukumu na amini sasa hivi ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu mifupa ya dinosaur ambaye alipatikana katika safu ya vilima Vya Tendenguru Lindi (1907-1913) ambayo kwa miaka hiyo ilipelekwa ujerumani kwa kuwa hatukuwa na sehemu ya kuhifadhi mifupa hiyo. Sasa hivi kama...
  15. Mhaya

    Serikali toa tamko kuhusu Balozi Nchimbi kutenguliwa kisha kurudishwa kisiri siri kazini bila umma kutangaziwa

    Serikali itoe taarifa kwa umma kama utenguzi wa Balozi wa Tanzania nchini Misri ulifutwa ama laa. Tarehe 15 August 2023 Rais Samia alifanya mabadiliko ya vituo vya kazi na utenguzi wa mabalozi na kumrejesha nyumbani Balozi wa Misri Nchini Tanzania Ndugu Emmanuel Nchimbi, na nafasi yake...
  16. Bushmamy

    Arusha: Wananchi wakosa madaraja, washangazwa pesa za madaraja zilizotoka halmashauri kurudishwa tena halmashauri

    Wananchi wa kata mbili za Sinoni na Lemara wameshikwa na mchangao wa aina yake baada ya halmashauri ya jiji la Arusha kurudisha pesa walizokuwa wametoa kwa ajili ya ujenzi wa madaraja mawili ambalo ni kiunganishi kati ya kata hizo mbili. Awali baada ya pesa hizo kupatikana kutoka halmashauri...
  17. Fortilo

    Alilaumiwa Magufuli kuhusu Maded: Leo Samia afukuza Kazi maded walioruhusu Kadi za CCM kurudishwa

    Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
  18. PakiJinja

    Mkimbizi wa kitanzania kutoka Ukrain kurudishwa Afrika

    Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine. Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    Msishangae Makonda akiteuliwa na kurudishwa serikalini au kwenye chama

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani. Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa. ===== UPDATE: Machi 31, 2024: Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda...
  20. O

    Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

    Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
Back
Top Bottom